Ushauri: Ununuaji wa magari

Ushauri: Ununuaji wa magari

engmtolera,
Unaweza ikanunua gari pasipo kujua kama ni kimeo mpaka ulinganishe na alilonunua mwingine kwny kampuni nyingine boss, u can't compare by urself boss
 
Nunua hyo gari ni nzur na ina space ya kutosha. Nimeitu.ia mwaka wa tatu sasa na nilishasafiri nayo dar mwanza mara tano nenda rudi ni haikuwah kunisumbua hata. Nilishasafiri nayomwanza tanga frm 0600asbh nilipoiwasha nikaja kuizima saa nane usiku baada ya kufika tanga lakini bado kinanda.

Hata kwenye barabara za vumbi na makorongo ilishapita kama bunda to mugumu and serengeti. Kama unaendesha vizuri kwa umakini haina tatizo ni gari nzuri sana. Kuhusu mafuta mimi huwa naweka hata ya vibaba aka vibombonya lakini sikuwahi kusikia miss wala nini.
 
Wadau, habari za jumapili? naomba mnisaidie nataka kuagiza gari Mark X, FOB $3000, year 2005 . Je nitalipa ushuru Sh ngapi hapa Tanzania?
 
Wadau, naitaji kununua Nissan Xtrail , naombeni ushauri , Je ni rafiki kwa Tanzania , vipi kuhusu matatizo ya kudumu na ya mara kwa mara kwa gari ilo? Nisaidieni!
 
Nadhani makadirio yatakuwa lipa usafiri na inspection etc. USD 1,500 - 2,200/- katika ile bei ya mwanzo, yaani FOB + usafiri/inspection. Then unapata CIF hii ni bei unayolipa hapo dsm, ila unaongeza na VAT+ Excise duty + Uchakavu + clearingForwarding+nyingine. Then unaendesha gari lako bila shida yeyote.
 
Wakuu salama.

Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki Escudo hizi new model sababu nataka kununua ila sasa bei ndo nataka nijue na fuel consumption na gharama za kuagiza kutoka nje hadi kuja kuichomoaa bandarini! Nitashukuru sana kwa ushauri wenu
 
BF329716_db1bec.jpg

Specs

�����
Ref NoBF329716LocationYOKOHAMA
Chassis #EXZ10-0005839Version/Class
Model CodeE-EXZ10Mileage91,535
Engine Size1,490ccEngine Code5E
Drive-SteeringRight
Transmiss.AutomaticExt. ColorPurple
Registration
Year/month
1997/9FuelGasoline/Petrol
Manufacture
Year/month
1997/6 Seats5
Doors5
* [Manufacture Year/month] is provided by database provider.
BE FORWARD shall not be responsible for any loss, damages and troubles caused by this information.
Dimension
(L×W×H)
4.02×1.68×1.53 m
M310.333
Weight1,090 kg

Wadau naomba ushauri nataka kuagiza gari hapo juu. Je, linafaa? kodi yake itakuwa kiasi gani? CIF price ni $1,628
 
Jamani nataka kuagiza nissan blue bird sylphy kupitia autocom japan au sbt japan.naomben wenye uzoefu na haya makampuni na gari yenyewe mnijuze
 
FreedomTZ, Hongera kaka ila kwa advice yangu na uelewa huu mdogo ukiacha vyote ulivovipenda kwa gari hii, Manufacture year 1997/6 itakutesa saana bro achana nayo jaribu kutafuta gari ambayo Manufacture year yke ni kuanzia 2006 maybe up to 2008 maana zaidi ya hapa cost nayo inapanda, logic ya hili nnalo sema nilikuwa katka hesabu za mfalme TRA ukiagiza gari inayozid miaka 10 toka itengenezwe kodi yake itakutesa sana.

Kama kuna anaejua chchote zaidi aje tupate knowledge.
 
Wadau mimi naomba mnijulishe kuhusu IST na Vitz ni mtandao gani mzuri kuagizia. Gharama zake za kodi zipoje na spare zake. Pia ubora kwa maeneo ya Dar na Morogoro maana Morogoro barabara nyingi vumbi. Alafu nataka kujua jinsi ya kutumia calculator hii mpya ya TRA
 
wadau mi naomba mnijulishe kuhusu IST na vitz ni mtandao gani mzuri kuagizia. gharama zake za kodi zipoje na spare zake. pia ubora kwa maeneo ya dar na moro maana moro barabara nyingi vumbi. Alafu nataka kujua jinsi ya kutumia calculator hii mpya ya TRA
wadau mi naomba mnijulishe kuhusu IST na vitz ni mtandao gani mzuri kuagizia. gharama zake za kodi zipoje na spare zake. pia ubora kwa maeneo ya dar na moro maana moro barabara nyingi vumbi. Alafu nataka kujua jinsi ya kutumia calculator hii mpya ya TRA

Nunua ist achana na vitz. japo ist bei ipo juu zaidi lakini utakua umenunua chombo cha ukweli zaidi, na isitoshe ist chassis yake imenyanyuka zaidi ya vitz, so hata ukiingia nayo offroad haitajuta.

kuhusu kodi, haya magari yote yanalingana engine capacity( 1290cc) ila kitakachofanya ist iwe na kodi kubwa ni ile bei utakayokuwa umenunua (cif price). kwa kifupi kumiliki ist bajeti yako ya chini iwe m10 hadi mkononi.

mtandao mzuri ni beforward.jp hawa jamaa hawanaga magumashi,utanunua, watakutumia na watakufanyia clearing service wao wenyewe endapo utapenda kisha wewe utaenda tu kuchukua gari yako pale ofisin kwao opposite na ocean road hospital. binafsi nawakubali sana, nina idadi ya magari saba niliyonunua toka kwao na hakuna hata moja lililosumbua.

kuna wauzaji pale tradecarview.com wana magumashi balaa,(hususan kwa mnunuzi mpya) mtakubaliana bei na mwisho wa siku gari litatumwa bila kufanyiwa inspection na hasara yake utaiona, utaletewa scrapper na bado itakugarimu kulipa pesa kwa TBS waikague. kuhusu spare, aina zote za toyota hazina usumbufu kwenye spear.
generally, nakushauri nunua ist toka beforward.jp
 
Nisaidieni kupata jumla ya kodi ya kuingiza gari aina ya Harrier (with CIF usd 6,085, year of manufacture 2002, cc 2360) including import duty, registration etc
 
Back
Top Bottom