Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,297
- 758
CIFCIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa Japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
Pamoja na hiyo, lakini mimi nilitaka X-trail tu
Missm4c nisaidie karakana ambayo inaweza kutibu vizuri Nissan xtrail tafadhari,Chukua Xtrail T31
Nataka kujua tofauti ya RAV L na RAV J nini tofauti yake naona tuuu Mshana Jr
Nimeikuta RAV4 L ina km 83elfu duuhh nimeipendaUnaijua maana ya RAV4 J au RAV4 L (hii aina ya gari)
#REPOST Goefrey madafa RAV 4 MAANA YAKE NINI? Walitumia maneno haya kiingereza RAV4" --Recreational Active Vehicle with 4-wheel-drive, Ukichukua herufi hivo za mwanzo utapata RAV 4. Generation ya 1 hii ya Rav 4 ambayo hutum full time 4wheel, ILA KUNA KUWEKO NA MKANGANYIKO NINI MAANA YA RAV J...www.jamiiforums.com
Vipi Suzuki Jimny?OPAL sio mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). Kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni ghali.
Subiri watu wengine wachangie pia. Yangu ni hayo tu
Meli ikifika, gari utalipata ndani ya siku 4 hivi. Ongeza na TBS hapo kwenye hizo taasisi mbili.Vipi TRA na TPA magari issue za magari baado hazijabadilika?
Mdau asante nimeshachukua RAV 4 L naifurahia tuu maishaUnaijua maana ya RAV4 J au RAV4 L (hii aina ya gari)
#REPOST Goefrey madafa RAV 4 MAANA YAKE NINI? Walitumia maneno haya kiingereza RAV4" --Recreational Active Vehicle with 4-wheel-drive, Ukichukua herufi hivo za mwanzo utapata RAV 4. Generation ya 1 hii ya Rav 4 ambayo hutum full time 4wheel, ILA KUNA KUWEKO NA MKANGANYIKO NINI MAANA YA RAV J...www.jamiiforums.com
Kwa mwandiko huu BMW IshakushindaNaomba Ushauri juu ya ubora na uimara wa izi gari BMW
Kama sikosei, zote ni 350,000/=Naombeni kujua gharama za ukaguzi wa tbs kwa gari aina ya Toyota Raum
Bmw ama range rover sport 2.5Habarini brother and sisters, Nisizinguke ngoja niende kwenye swali direct, nina 25M nataka kununua gari liwe SUV liwe la mwingereza au mjerumani, ni gari lipi litanifaa? nina uchumi wa kawaida tu
Yeye pia, kwa namna fulani niliona thread kama bado inamsumbua hiviMissm4c nisaidie karakana ambayo inaweza kutibu vizuri Nissan xtrail tafadhari,