Ushauri: Ununuaji wa magari

Ushauri: Ununuaji wa magari

Salam wadau!!
Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5. Ninaomba ushauri ni gari gani ninunue ambayo haitanisumbua na gharama zake za uendeshaji sio kubwa
Mimi niliwaza MITSUBISHI CANTER

NAOMBENI USHAURI NIKIJE NIKANUNUA KITU AMBACHO SIO SAHIHI

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji Vitz New Model Number D au C zile za cc 990 Anayeuza au Anayemfahamu muuzaji tafadhali nijulishe ASAP kupitia pm
 
Nataka kujua tofauti ya RAV L na RAV J nini tofauti yake naona tuuu Mshana Jr
 
Nimeikuta RAV4 L ina km 83elfu duuhh nimeipenda
 
Habarini brother and sisters, Nisizinguke ngoja niende kwenye swali direct, nina 25M nataka kununua gari liwe SUV liwe la mwingereza au mjerumani, ni gari lipi litanifaa? nina uchumi wa kawaida tu
 
OPAL sio mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). Kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni ghali.

Subiri watu wengine wachangie pia. Yangu ni hayo tu
Vipi Suzuki Jimny?
 
Naombeni kujua gharama za ukaguzi wa tbs kwa gari aina ya Toyota Raum
 
Mdau asante nimeshachukua RAV 4 L naifurahia tuu maisha
 
Back
Top Bottom