Nampango wa kuanzisha utengenezaji na uuzaji wa chakula cha ngombe ( hay) ,naomba ushauri nitapata wapi au ntaagiza wap hay harvester
- ya kutosha kuvuna walau ekari kumi kwa siku( kubwa )
- yenye kukata nyasi,kuziminya katika umbo la hay na kupaki
- liwe ambalo iwapo litaharibika mafundi na spea ni vinapatikana nchini