Salam zenu wakuu.
Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003.
Kwa wenye uzoefu kuna uwezekano wa gharama zote hadi mojawapo ya haya magari kunifikia mikononi kuwa zaidi ya hiyo bajet yangu?
Natanguliza shukrani
asante mkubwa..hiyo ist inaweza fika ngapi hadi kuiweka mikononi?Labda Passo kwa ist inaweza ikapigwa mnada na majembe.
Ukishindwa njoo nikupe Duet namba CLS
Vipi TOYOACE pick up tani 1 na nusu unajua bei yake mkuu?Mpwa hivi vi duet unamchongo navyo nini cls ni mpya. Lakini huyo jamaa kama 8.5 anaweza kupata Ist
Vipi TOYOACE pick up tani 1 na nusu unajua bei yake mkuu?
sawa mkuu, nakutegemeaKwa sasa hivi siwezi kukupa lakini panapo majaliwa kesho ntakujulisha
Mpwa hivi vi duet unamchongo navyo nini cls ni mpya. Lakini huyo jamaa kama 8.5 anaweza kupata Ist
Jichange ununue gari mpya. Leo tupo 2013, wewe unataka kununua gari iliyotumika ya mwaka 2004...Salam zenu wakuu.
Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003.
Kwa wenye uzoefu kuna uwezekano wa gharama zote hadi mojawapo ya haya magari kunifikia mikononi kuwa zaidi ya hiyo bajet yangu?
Natanguliza shukrani
Vipi TOYOACE pick up tani 1 na nusu unajua bei yake mkuu?
Ukishindwa njoo nikupe Duet namba CLS
bei gani duet CLS mkuu?huwa navipenda sana kwa mafuta
Usitafute gari cartradeview utaibiwa. Nenda kwenye website za makampuni moja kwa moja.... kwa bei hiyo unaweza kupata IST.