Ushauri ununuzi wa gari

Ushauri ununuzi wa gari

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
445
Reaction score
72
Salam zenu wakuu.
Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003.
Kwa wenye uzoefu kuna uwezekano wa gharama zote hadi mojawapo ya haya magari kunifikia mikononi kuwa zaidi ya hiyo bajet yangu?
Natanguliza shukrani
 
Labda Passo kwa ist inaweza ikapigwa mnada na majembe.
 
hahahahaa tunaganga njaa Mpwa, hii ni mpya nimeitoa about two weeks ago. Navipendea mafuta
Mpwa yaani havinipi headache kabisa lita yangu moja najua nina Km 14-15
Mpwa hivi vi duet unamchongo navyo nini cls ni mpya. Lakini huyo jamaa kama 8.5 anaweza kupata Ist
 
Salam zenu wakuu.
Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003.
Kwa wenye uzoefu kuna uwezekano wa gharama zote hadi mojawapo ya haya magari kunifikia mikononi kuwa zaidi ya hiyo bajet yangu?
Natanguliza shukrani
Jichange ununue gari mpya. Leo tupo 2013, wewe unataka kununua gari iliyotumika ya mwaka 2004...
 
Usitafute gari cartradeview utaibiwa. Nenda kwenye website za makampuni moja kwa moja.... kwa bei hiyo unaweza kupata IST.
 
Kumbuka trade car view ni msimamizi wa hao madealer ni salama zaidi kupitia tradecarview kwani pesa hapewi dealer mpaka gari ipakiwe melini.
 
Back
Top Bottom