USHAURI :USAFIRI WA DALADALA/BASI NA

USHAURI :USAFIRI WA DALADALA/BASI NA

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
ssalam wakuu,
nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa haimuachi salama kwani hupatwa na
1/kuvurugika kwa tumbo hasa gari inapopita barabar mbovu
2/hali huwa mbaya zaidi kwa barabara zenye mashimo au kuyumbayumba kwa gari lenyewe
3/tumbo huwa kama limejaa vile
4/hali ikizidi huwa anacheua kabisa
5/tena ikijaza na hakuna hewa ya kutosha hali huwa mbaya
6/tumbo huwa kama lina baridi
7/hali inapokuwa mbaya zaidi huanza kuvuja jasho hata kama iwe usiku au kwenye baridi kwani jasho hilo sio la joto la hasha
8/humlazimi hadi kushuka then hupumzika kama 0.5hr na kupanga gari lingine kuendelea na safari
9/akipata harufu ya mafuta ya ndani ya gari i.e dizeli na oil inayoungua ndo hali huzidi mara dufu
10/Akipanda car hakuna tatizo
JE HUYU MTU ANA TATIZO GANI NA NINI AFANYE
 
anunune usafiri binafsi kama gari ndogo au pikipiki
 
Back
Top Bottom