Aussems tayari ameonyesha wasiwasi
kabla ya mchezo huo kwani alisema
kwamba: “Niwe mkweli. Sidhani kama
tunaweza kupata pointi kutoka kwa Al
Ahly. Mkazo wetu ni kukusanya pointi
nyumbani.
“Huwa sipendelei ndoto. Hatuwezi kupata
pointi hapa dhidi ya Al Ahly kwa sababu
watapata penalti, mchezaji wetu mmoja
ataonyeshwa kadi nyekundu na pia
watapewa bao la kuotea,” alisema
Aussems saa chache kabla ya mchezo.
Kocha Anaweweseka Sembuse Nyie Mashabiki.
Muhimu Simba wacheze kwa umakini mkubwa.al ahly ukiwagusa tu unakula red card. iwe home au away... hiyo ndio timu ya caf...
hao kama barcelona ya pep guardiola.. mpira wanaujua na kubebwa wanabebwa
Mkuu huu ndio unaitwa ulozi?Nashauri wachezaji wasiingie vyumba vya kubadilishia nguo,wasitumie bus walilopewa na Wana Misri hao. Hapo wataweza washinda. Pia kwa wale ambao kitimoto haiwazuri wapake kwenye miguu yao kidogo tu yale mafuta. Game watashinda fair and square.
Bila kufuata huo ushauri wanapigwa bao 2 kwa sifuri.