GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Game ipo tight sana nmeicheck hapa kama Simba ambayo ni Team ya Taifa ya Tanzania haitakaza tunapigwa bao 2 bila. Halafu tunarudi kuja jipanga.
Nashauri wachezaji wasiingie vyumba vya kubadilishia nguo,wasitumie bus walilopewa na Wana Misri hao. Hapo wataweza washinda. Pia kwa wale ambao kitimoto haiwazuri wapake kwenye miguu yao kidogo tu yale mafuta. Game watashinda fair and square.
Bila kufuata huo ushauri wanapigwa bao 2 kwa sifuri.