Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi.
Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi.
Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka. Wataichorachora na ukifa wataiuza haraka. Biashara unayoitunzia fedha kwa kuwanyima watoto chakula bora itafilisika.
Kama huna hela ya kutosha kufanya mambo mawili basi acha no. 2 rudi no. 1 (kuwapa direct needs wanao).
Hii ndio kanuni ya ulimwengu, watoto wakifurahi mambo mengine yatajipa simply.