Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Maisha unatakiwa kubalance usilalie upande mmoja mfano usijenge ghorofa la vyumba mia la kuishi as if watoto hawakui au hawawezi pata kazi mikoa mingine au nje ya nchiHuu ni ushauri kwa mzazi/wazazi.
Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi.
Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka. Wataichorachora na ukifa wataiuza haraka. Biashara unayoitunzia fedha kwa kuwanyima watoto chakula bora itafilisika.
Kama huna hela ya kutosha kufanya mambo mawili basi acha no. 2 rudi no. 1 (kuwapa direct needs wanao).
Hii ndio kanuni ya ulimwengu, watoto wakifurahi mambo mengine yatajipa simply.
Sawa kabisa. Tumekuelewa.
Inategemea na aina ya BABA! Baba mwenye BUSARA na WELEDI, atafanya MAENDELEO kwa ajili ya familia yake lakini wakati huo huo ataangalia na ustawi wa familia yake. Yaani maisha mengine lazima yataendelea.
Ila kwa yule BABA MKAIDI, MBISHI, MBABE, ASIYE SHAURIKA, JIWE, ASIYEJALI, MBINAFSI, MKATILI; atakomaa tu na kile anacho kiamini yeye. Watoto na mke wake wataishi MAISHA MAGUMU, kisa anafanya MAENDELEO.
Umekwenda mbaaali zaidi.
But Mimi simo huko
Kumbe!!!!Mara nying anayefanyaga hivyo basi yupo hivyo tuu,
Hata amalize kujenga hutaona mabadiliko, familia inakua na matumain Baba akimaliza kujenga mambo yatakaa Sawa, anamaliza holaaa...
Wapo ambao wanajenga lkn hakuna mabadiliko kwenye mfumo wa maisha.
Ahahahahaha.Wapi tena mtoa mada!! 🤔 Mimi niko ndani ya mada kabisa uliyoileta mezani!
tusipangiane shubaaaamiti...Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi.
Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi.
Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka. Wataichorachora na ukifa wataiuza haraka. Biashara unayoitunzia fedha kwa kuwanyima watoto chakula bora itafilisika.
Kama huna hela ya kutosha kufanya mambo mawili basi acha no. 2 rudi no. 1 (kuwapa direct needs wanao).
Hii ndio kanuni ya ulimwengu, watoto wakifurahi mambo mengine yatajipa simply.
Uko sahihi mnajibana familia mnakondeana na mama anakondeana akimaliza anaona mama kakondeana anaenda kwa Asha Ngedere mwenye wowowo uswahilini ambaye anaishi chumba hakina umeme wala maji ila kanenepeana kwa lishe bora pamoja na kuwa hata godoro hana analala chini kwenye mkeka uliochakaa!!! Ila anakula tu vizuri na kuvaa mitumba mizuri Mzee unakuta anamwambia Asha Ngedere kuwa mkewe mchafu hajipendi na hajui kupika !!!! Kakondeana wakatti anaacha pesa kibao!!!! Kumbe mwongo mkewe alikuwa na wowowo kuliko Asha Ngedere ila akasema tujibane tujenge ghorofa!!!! Ghorofa limeisha mwanaume huyo katoroka kaendaMara nying anayefanyaga hivyo basi yupo hivyo tuu,
Hata amalize kujenga hutaona mabadiliko, familia inakua na matumain Baba akimaliza kujenga mambo yatakaa Sawa, anamaliza holaaa...
Wapo ambao wanajenga lkn hakuna mabadiliko kwenye mfumo wa maisha.
ndio maana watoto wa kike sikuhizi hawataki kuhangaika na mtu ambaye hajajipanga ili kuepuka kero za kulishwa dagaa na marage kama doziMwanaume anatakiwe ajue hitaji la kwanza la familia ni chakula kizuri la pili ni pa kulala sio lazima liwe ghorofa mbezi beach yaweza kuwa nyumba ya kawaida ya kupanga uswahilini,hitaji la tau kuu ni mavazi sio lazima classic yaweza kuwa mitumba mahitaji mengine kama Shule classic, ,nyumba classic, gari classic ni ya ziada baada ya kuhakikisha hizo basic nilizotaja zimekuwa met
Kusingizia ohhh hamuli vizuri Mimi najenga ghorofa mbezi beach ni ujinga kamwambie mama yako aliyekuzaaa shenzi Wewe