jefta yusuph New Member Joined May 29, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jun 1, 2015 #1 Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
L livescore Member Joined Apr 10, 2015 Posts 93 Reaction score 40 Jun 1, 2015 #2 una wazo gani una shilingi ngapi upo wapi unaweza nini unapenda nini wewe ni mwanaume au wmwanamke