Ushauri: Uwekezaji huku nikiendelea na masomo

Ushauri: Uwekezaji huku nikiendelea na masomo

jefta yusuph

New Member
Joined
May 29, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
 
una wazo gani una shilingi ngapi upo wapi unaweza nini unapenda nini wewe ni mwanaume au wmwanamke
 
Back
Top Bottom