Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Za uzima
Nianze kuwapongeza kwa kuwa washindi wa pili kombe la caf
Kifupi mkijitayarisha kuvaaa majezi ma t-shirt y kila aina na hata zaa kuuzia mashbiki wenu pale mkichukua ubingwa
Na haikuwa hivyoooo
Ningeomba hizo jezi kama hamtojali peleken kwa yatima na wajane na wagonjwa hospt
N aibu kubwa kukutwa na jezi mtumzima za bingwa simba conf..2025😂😂😂😂😂😂
Mwisho maombi yangu kwa mungu yatafanyiwa kazi
Ingawa naambiwa alieziprint anawapigia simu mkalipe hazipokelewi simu za viongozi wenu
Pole sana uliehangaika na kutengeneza jezi imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasioonekana kama berkane
Ujiongezee siku nyingine sehemu zingine sio z kukurupuka tu kuvamia tenda..hii ulikuwa unajaribi moto ambao haushikikiii