NeutalPolitics
New Member
- Feb 16, 2013
- 2
- 1
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila nimegundua hivi vyama vyote vipo slow sana kwenye teknolojia mfano Websites za CCM au CHADEMA hazipo updated kabisa unakuta habari za 2020 huko ndio zimejaa hakuna updates.Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.