Waibi fredy
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 194
- 227
Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo -xxx xxxx FRED
Birth Certificate xxx xxx FREDY
Najua wapo waliopata changamoto kama mimi .pleas naomba msaada wenu wa kimawazo .