Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila spelling ndio tofautu kama unavyoona uwo mfano .Me najua chuo wanatype majina in local laiti kama vyuo vingekuwa wanatumia link ya form four izi shida zisingetokea .Cheti cha chuo na cha form four vinawezaje kutofautiana?
Nina apply vizuri tuIssue ni nida,system bado itakugomea hutoweza kuapply
So apo nibadilishe nini kakaCheti cha kuzaliwa ni rahisi kubadilisha jina ila ishu kubadilisha cha chuo ila vingine nakushauri acha kama zilivyo maana hizo kubadilisha utahangaika sana
Tafuta cheti kingine cha jina sahihiNa kama vyeti vyoote chuo,sec,adv na nida jina la mzazi ni “titus” but cha kuzaliwa tu ndio wakakosea jina la mzazi ni “titas”
Hapo kuna shida na je solution nifanye nm?
Sasa km unaaplly shida iko wapi ushaambiwa deed pol inamaliza tatizo liwe initial, jina limeongezeka au kutofautiana herufi ww omba ukipata utafanya hiyo processNina apply vizuri tu
Ni sawa na affidavity?Katafute Deedpol! Kiapo cha majina