Waibi fredy
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 194
- 227
Apo kama nikibadilish birthC - na vyeti nikienda mahakaman kuapa itakuwaj apoHapo pagumu bora hata hivyo academic vingekuwa vimefanana.
Issue ni nida,system bado itakugomea hutoweza kuapplyApo kama nikibadilish birthC - na vyeti nikienda mahakaman kuapa itakuwaj apo
Nenda kaape mkuu mfumo hauwez kukugomea maana na me nlkua na shda dzain hyo. Ni dm namba nikuelekezeApo kama nikibadilish birthC - na vyeti nikienda mahakaman kuapa itakuwaj apo
Suluhisho ni kutengeneza Deed poll basi unakuwa umemaliza kila kituHabari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo -xxx xxxx FRED
Birth Certificate xxx xxx FREDY
Najua wapo waliopata changamoto kama mimi .pleas naomba msaada wenu wa kimawazo .
Poa kaka .embu cheki inboxNenda kaape mkuu mfumo hauwez kukugomea maana na me nlkua na shda dzain hyo. Ni dm namba nikuelekeze
naomba kuuliza mkuu vip kwenye system kuna sehem ya kuambatanisha hicho kiapo ili wajue kama umeapa kubadili majina?Nenda kaape mkuu mfumo hauwez kukugomea maana na me nlkua na shda dzain hyo. Ni dm namba nikuelekeze
Tengeneza deed pol issue umemalizaHabari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo -xxx xxxx FRED
Birth Certificate xxx xxx FREDY
Najua wapo waliopata changamoto kama mimi .pleas naomba msaada wenu wa kimawazo .
Tengeneza deed pol issue umemaliza
umepata solution niggah ... kwenye hii ishu ??Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo -xxx xxxx FRED
Birth Certificate xxx xxx FREDY
Najua wapo waliopata changamoto kama mimi .pleas naomba msaada wenu wa kimawazo .
Sijapata ndugu yangu .embu nipe mawazo nduguumepata solution niggah ... kwenye hii ishu ??
Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo -xxx xxxx FRED
Birth Certificate xxx xxx FREDY
Najua wapo waliopata changamoto kama mimi .pleas naomba msaada wenu wa kimawazo .
Kwahy mpaka sasa hivi hujafanya chochote.? Nikikuta uzi wako kuilaumu serikali ntakuona huna akiliSijapata ndugu yangu .embu nipe mawazo ndugu
Na mimi hii ishu inanitesaa kinouma ...Sijapata ndugu yangu .embu nipe mawazo ndugu
Nenda Ofisi ya RITA wilaya ukabadilishe hilo jina watakusaidiaNa kama vyeti vyoote chuo,sec,adv na nida jina la mzazi ni “titus” but cha kuzaliwa tu ndio wakakosea jina la mzazi ni “titas”
Hapo kuna shida na je solution nifanye nm?
Nenda Ofisi ya RITA wilaya ukabadilishe hilo jina watakusaidia