Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Pamoja na madhaifu yao hawa maaskofu, angalau wanautimamu wa akili, sio kama ule upande wa pili.
 
Pamoja na madhaifu yao hawa maaskofu, angalau wanautimamu wa akili, sio kama ule upande wa pili.
Upande wa pili wanaogombea nyama za misaada toka nje Kisha wanashtakiana kwa Samia awasuluhishe.
 
Kuna mstaafu ameamua kujivika aibu na fedheha ambayo haitatoweka milele na mbeleni hapo wanafunzi wa historia watakua wanamtumia kama rejea ya kujifunza kwamba unaweza ukastaafu kwa heshima ila usipokua makini huko mtaani heshima inaweza kupotea na isirudi tena.
 


Inaelekea kuna mstaafu anafanya biashara na halipi kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…