Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Mpumbavu ni mamako ***** wewe,ukishaliwa kalio huko unaanza kushobokea wanaume hovyo hapa sio? Nitakutafuna mpaka ushindwe kutembea ***** wewe.
Nitakufuna mpaka ushindwe kutembee

Kwahiyo ukitafunagwa vyema huwa huwezi kutembea

Hebu endelea kutiririka
 
Katika watu ambao kazi yao kupokea sadaka tu sio kutoa ni mapadre na maaskofu wa kanisa katoliki akiwemo huyo Dalu

Kazi yao ibada kupokea tu sadaka na kwenda kula huoni hata siku moja chombo cha sadaka wakipelekewa na wao watoe.Wasivyo na haya wao kupokea tu
Hawatoi ni kupokea na kuzila tu

Hizo sadaka ambazo wao huzila bila kulipia kodi wazitumie kuanzisha biashara za kulipa kodi badala ya kuzira tu bila wao kutotoa sadaka

Unaona wametakata tu kwa sadaka lakini wao hawatoi hata mia ya sadaka

Ni wakati sasa pesa wanazopewa mapadri na maaskofu katoliki TRA ianze kuwakata kodi kama wafanyakazi wengine wa serikali na sekta binafsi
Poor You.
I
 
Hellow!

Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.

Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia ya kutoa ushauri hii hakubaliki.

Amewashauri wakafungue biashara na kulipa Kodi kihalali Ili nchi ipate mapato.

Ushauri huu naona ni mzuri maana Hawa wanasiasa wana ukwasi mkubwa kuliko Hawa matajiri walipa Kodi tuwajuao.

NB: Ujumbe huu haumuhusu Mzee Warioba, Butiku na wastaafu wengine wenye kushauri kwa haki.

Swali: Ushauri huu wa Askofu mmeupokeaje?

Nawasilisha 🙏
Kikwete ndiye mlengwa, amezidi sana
 
Askofu kwa Maonyo haya,

Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.

Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.

Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?.
P
 
Wanakazi gani? Kubwabwaja ujinga? Hawajatoa,hawatoki.jasho.popots zaidi ya kula Bure.

Wangejua jinsi ya kutafuta wasingekuwa wanaongea upuuzi wao.
Kazi ya kuokoka Roho za wanadamu zisiende motoni ni kazi yenye thamani kuliko kazi zote duniani.

Huburi injili hutojutia.
 
Mpumbavu ni mamako ***** wewe,ukishaliwa kalio huko unaanza kushobokea wanaume hovyo hapa sio? Nitakutafuna mpaka ushindwe kutembea ***** wewe.
Acheni kutukanana🙏

Sisi sote ni ndugu,

Na sote ni Watanzania, hivi vyama ni vya muda tu.

Amani na upendo🙏
 
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?.
P
Unaona sasa!
 
Wewe Kafiri mgalatia huna issue,unaishia kucopy ninachoandika mimi tu,
Inaonekana leo mumeo hajakukamua kisawasawa,ndio maana unajilengesha hovyo tu kwa wanaume hapa.
Kule kwa Akhera wenye mitusi aina hii wanaingia kweli?

Au nayo ni sunna?
 
Acheni kutukanana🙏

Sisi sote ni ndugu,

Na sote ni Watanzania, hivi vyama ni vya muda tu.

Amani na upendo🙏
Acha unafiki wewe,kwanini uniquote mimi? Si ungemquote huyo ***** anae shobokea wanaume hapa?

Hako ndio kamejileta hapa na kuanza kunitingishia vimakalio vyake.
 
Acha unafiki wewe,kwanini uniquote mimi? Si ungemquote huyo ***** anae shobokea wanaume hapa?

Hako ndio kamejileta hapa na kuanza kunitingishia vimakalio vyake.
Basi msamehe yaishe,

Sisi ni watu wazima,

Kuvunjiana heshima hakumfaisishi yeyote 🙏
 
Kibaya ni kwamba the rotten system inaonekana ndio sahihi ; tunataka kutibu symptoms badala ya underlying causes.....

Moja mtu akistaafu inabidi astaafu na kula matunda yake (kulia kivulini alichochumia juani) na sio kubadilisha shughuli ya kufanya.... Kwahio what is the Solution ?



Bila kusahau kwamba mtu anastaafu pale anapoishiwa nguvu na anahitaji kupumzika hivyo kuna swali jingine...

 
Hellow!

Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.

Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia ya kutoa ushauri hii hakubaliki.

Amewashauri wakafungue biashara na kulipa Kodi kihalali Ili nchi ipate mapato.

Ushauri huu naona ni mzuri maana Hawa wanasiasa wana ukwasi mkubwa kuliko Hawa matajiri walipa Kodi tuwajuao.

NB: Ujumbe huu haumuhusu Mzee Warioba, Butiku na wastaafu wengine wenye kushauri kwa haki.

Swali: Ushauri huu wa Askofu mmeupokeaje?

Nawasilisha 🙏
Wanabodi,
Declaration of Interest

Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.

Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...

Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.

Paskali.
Askofu kwa Maonyo haya,

Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.

Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.

Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
 
Back
Top Bottom