Mbona yeye huyo Padri anawashauri hao wastaafu? Kwani yeye kaombwa awashauri hao wastaafu?Uslilazimishe kuombwa ushauri subiri uombwe ushauri na usipopewa nafasi usilalamike.
Udini umetajwa wapi?Mimi sibishani mambo ya siasa,tatizo lako umeingiza udini ndio maana nimekumind.
At least ni SADAKA za HIARILakini Yeye maisha yake yanasubiri swadaka za kondoo walopotea
Anatoa onyo SI ushauri.Mbona yeye huyo Padri anawashauri hao wastaafu? Kwani yeye kaombwa awashauri hao wastaafu?
Wewe jitoe tu ufahamu na kujifanya hukijui ulichokiandika huko juu,ukileta kukashifu imani za watu lazima nikuvaeUdini umetajwa wapi?
Samia alipoonya masheikh wanaogombea nyama za misaada alimaanisha udini!
Ni Nini mbaya😄
Wanamasikio lakini hawasikii,wanamacho lakini hawatazamiMbona yeye huyo Padri anawashauri hao wastaafu? Kwani yeye kaombwa awashauri hao wastaafu?
Inaonyesha mishahara haiwatoshi ndio maana hawakauki kukimbizana walipo viongozi walio mamlakani ndio maana wanashauriwa wafungue biashara na walipe Kodi kihalali.Kulipa Kodi kihalali mara ngapi huku mishahara inakatwa kodi
Hata yule mwislamu alisoma shule ya kikatoliki enzi ya mzee wake dc bado ana uharufu wa ukatolikiUshauri unawahusu wakatoliki
Kina nani hao?Wanamasikio lakini hawasikii,wanamacho lakini hawatazami
Shehe nawe ulihusika kugombea nyama za msaada?Wewe jitoe tu ufahamu na kujifanya hukijui ulichokiandika huko juu,ukileta kukashifu imani za watu lazima nikuvae
Askofu kwa Maonyo haya,
Mbona unalalamikia sadaka sana kwani sisi tunalipa kodi na viongozi wanaishi kwa kodi zetu shida iko wapi? Hivi unajua sifa ya askofu wakatoliki unajua ni miradi mingapi anasimamia? Unajua ni miradi mingapi anaanzisha yenye faida na isiyo na faida.Usikalili kwamba kila kiongozi wa dini anasubiri sadaka tu.Kina nani hao?
Watoa sadaka za kujimaliza sio?
hivi yeye anamiaka mingapi na ana staafu lini? hakuna mtumishi anaekaa ofisini baada ya kustaafu, na wakistaafu wanakuwa raia wakawaida wanatoa mawazo yao kwa mujibu wa katiba, kuhusu biashara situnawaambia vijana wajiajiri sasa tukawe mawinga na uzee wetu kweli? yaani butiku warioba na niffer wakutane kariakoo wakidalalia matisheti?Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia ya kutoa ushauri hii hakubaliki.
Amewashauri wakafungue biashara na kulipa Kodi kihalali Ili nchi ipate mapato.
Ushauri huu naona ni mzuri maana Hawa wanasiasa wana ukwasi mkubwa kuliko Hawa matajiri walipa Kodi tuwajuao.
NB: Ujumbe huu haumuhusu Mzee Warioba, Butiku na wastaafu wengine wenye kushauri kwa haki.
Swali: Ushauri huu wa Askofu mmeupokeaje?
Nawasilisha 🙏
Huyo asikutoe kwenye mada,Mbona unalalamikia sadaka sana kwani sisi tunalipa kodi na viongozi wanaishi kwa kodi zetu shida iko wapi? Hivi unajua sifa ya askofu wakatoliki unajua ni miradi mingapi anasimamia? Unajua ni miradi mingapi anaanzisha yenye faida na isiyo na faida.Usikalili kwamba kila kiongozi wa dini anasubiri sadaka tu.
Amekemea wastaafu wenye kupitisha viongozi wetu kwa ushauri mbaya.hivi yeye anamiaka mingapi na ana staafu lini? hakuna mtumishi anaekaa ofisini baada ya kustaafu, na wakistaafu wanakuwa raia wakawaida wanatoa mawazo yao kwa mujibu wa katiba, kuhusu biashara situnawaambia vijana wajiajiri sasa tukawe mawinga na uzee wetu kweli? yaani butiku warioba na niffer wakutane kariakoo wakidalalia matisheti?
Picha hii hauhusiani na Uzi🙏
Mzee Kikwete alisema za kuambiwa changanya na za kwako😁Picha hii hauhusiani na Uzi🙏