ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Daah! Hilo jina ulilolichagua na falsafa zakoni ardhi na mbingu. Hilo kanisa kupitia sadaka za waamini mbona linashiriki kikamilifu kutoa huduma mbalimbali za kijamii kam elimu na afya.Katika watu ambao kazi yao kupokea sadaka tu sio kutoa ni mapadre na maaskofu wa kanisa katoliki akiwemo huyo Dalu
Kazi yao ibada kupokea tu sadaka na kwenda kula huoni hata siku moja chombo cha sadaka wakipelekewa na wao watoe.Wasivyo na haya wao kupokea tu
Hawatoi ni kupokea na kuzila tu
Hizo sadaka ambazo wao huzila bila kulipia kodi wazitumie kuanzisha biashara za kulipa kodi badala ya kuzira tu bila wao kutotoa sadaka
Unaona wametakata tu kwa sadaka lakini wao hawatoi hata mia ya sadaka
Ni wakati sasa pesa wanazopewa mapadri na maaskofu katoliki TRA ianze kuwakata kodi kama wafanyakazi wengine wa serikali na sekta binafsi
Unadhalilisha Wajapan ambao ni watu waliostaarabika na wanachukia vitendo vya ukandamizaji. Na hata Gichin Funakoshi ambaye ni founder wa Shotokan hakupenda vitendo vya unyanyasaji na ukandamizaji