Utoto Kwenye maswala ya uzima na nafsi?Acha utoto.
Kwa million saba naweza pata eneo nijenge nyumba ya wapangaji!?Hata Nzuguni na Chang'ombe kwene squatter bado Viwanja vya 250 Hadi 300 Vipo.
Nzuguni ni Squarter? au umechapia ulitaka kusema Nkuhungu.Kama Eneo ni SQM 100 huenda unampango wa kukaa hapo Muda mchache kisha uhame.Dodoma bado Pana Viwanja kuanzia SQM 300 na Kuendelea na vimepimwa.Meta 100 labda iwe Ghorofa.Vyumba 2,Sebure,Jiko na dinning Kwa Hali ya Kawaida inamaliza meta 80 hadi 100.Utakosa pa Kuingilia.Kama lipo Mjini Kati kigeuze ziwe frame za Maduka.Lakini Dodoma nayoijua sijui kama utapata kibali cha Ujenzi Kwa sasa kwa Ukubwa huo wa Kiwanja.Hata Nzuguni na Chang'ombe kwene squatter bado Viwanja vya 250 Hadi 300 Vipo.
Asante mkuu kwa ufafanuzi..Kama Eneo ni SQM 100 huenda unampango wa kukaa hapo Muda mchache kisha uhame.Dodoma bado Pana Viwanja kuanzia SQM 300 na Kuendelea na vimepimwa.Meta 100 labda iwe Ghorofa.Vyumba 2,Sebure,Jiko na dinning Kwa Hali ya Kawaida inamaliza meta 80 hadi 100.Utakosa pa Kuingilia.Kama lipo Mjini Kati kigeuze ziwe frame za Maduka.Lakini Dodoma nayoijua sijui kama utapata kibali cha Ujenzi Kwa sasa kwa Ukubwa huo wa Kiwanja.Hata Nzuguni na Chang'ombe kwene squatter bado Viwanja vya 250 Hadi 300 Vipo.
Ni rooms 2. Choo na sebule.kwanza kiwanja Square meter 100 ina maana kiwanja chako kiwe na urefu wa mita 10 na upana wa mita. ambapo nyumba tu peke yake yenye ukubwa huo inakuwa imebana sana sijui kiwanja. kingine garama zozote zinategemea na mambo mengi unataka nyumba ya rooms ngap, n.k
cha mwisho ni vyema ujenge kulingana na mapendekezo yako kuliko nyumba ya kununua. au option nzur ni ununue pagala na uendeleze ila nyumba yakununua complete aiko more expensive kuliko kujenga mwnyw