Ushauri wa Bei ya Kununua Nyumba ya Aina hii

Aigle

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
1,540
Reaction score
7,973
Habari

Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100.

Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule.

Ushauri wajuvi wa ujenzi nyumba ya aina hii yaweza kugharimu kiasi gani hadi kukamilika?

Na je kipi bora kujenga ama kununua ambayo tayari imeshajengwa.
 
Mkuu, nakushauri ili upate unachotamani na maamuzi na ushauri Bora wawataluma, naomba huu Uzi peleka jukwaa la ujenzi kule, huku utapata majibu yasiyo na staa, wengi watakuchukulia poa... Maana walio na stress ni wengi..
 
kwanza kiwanja Square meter 100 ina maana kiwanja chako kiwe na urefu wa mita 10 na upana wa mita. ambapo nyumba tu peke yake yenye ukubwa huo inakuwa imebana sana sijui kiwanja. kingine garama zozote zinategemea na mambo mengi unataka nyumba ya rooms ngap, n.k
cha mwisho ni vyema ujenge kulingana na mapendekezo yako kuliko nyumba ya kununua. au option nzur ni ununue pagala na uendeleze ila nyumba yakununua complete aiko more expensive kuliko kujenga mwnyw
 
Kama Eneo ni SQM 100 huenda unampango wa kukaa hapo Muda mchache kisha uhame.Dodoma bado Pana Viwanja kuanzia SQM 300 na Kuendelea na vimepimwa.Meta 100 labda iwe Ghorofa.Vyumba 2,Sebure,Jiko na dinning Kwa Hali ya Kawaida inamaliza meta 80 hadi 100.Utakosa pa Kuingilia.Kama lipo Mjini Kati kigeuze ziwe frame za Maduka.Lakini Dodoma nayoijua sijui kama utapata kibali cha Ujenzi Kwa sasa kwa Ukubwa huo wa Kiwanja.Hata Nzuguni na Chang'ombe kwene squatter bado Viwanja vya 250 Hadi 300 Vipo.
 
Nzuguni ni Squarter? au umechapia ulitaka kusema Nkuhungu.
 
Kama Eneo ni SQM 100 huenda unampango wa kukaa hapo Muda mchache kisha uhame.Dodoma bado Pana Viwanja kuanzia SQM 300 na Kuendelea na vimepimwa.Meta 100 labda iwe Ghorofa.Vyumba 2,Sebure,Jiko na dinning Kwa Hali ya Kawaida inamaliza meta 80 hadi 100.Utakosa pa Kuingilia.Kama lipo Mjini Kati kigeuze ziwe frame za Maduka.Lakini Dodoma nayoijua sijui kama utapata kibali cha Ujenzi Kwa sasa kwa Ukubwa huo wa Kiwanja.Hata Nzuguni na Chang'ombe kwene squatter bado Viwanja vya 250 Hadi 300 Vipo.
Asante mkuu kwa ufafanuzi..

Eneo ni SQM 100, na kwel mpango ni kukaa mda mchache..nilipendelea kujua garama ya kujenga nyumba ya chini kwenye eneo hilo kwa raman ya vyumba viwili vya kulala, choo na sebul
 
kwanza kiwanja Square meter 100 ina maana kiwanja chako kiwe na urefu wa mita 10 na upana wa mita. ambapo nyumba tu peke yake yenye ukubwa huo inakuwa imebana sana sijui kiwanja. kingine garama zozote zinategemea na mambo mengi unataka nyumba ya rooms ngap, n.k
cha mwisho ni vyema ujenge kulingana na mapendekezo yako kuliko nyumba ya kununua. au option nzur ni ununue pagala na uendeleze ila nyumba yakununua complete aiko more expensive kuliko kujenga mwnyw
Ni rooms 2. Choo na sebule.
 
Back
Top Bottom