Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Hahaha, mkuu kazi yake si yakitotoMkuu Nadhani ukifanya 900 Itapendeza..[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, mkuu kazi yake si yakitotoMkuu Nadhani ukifanya 900 Itapendeza..[emoji23] [emoji23]
Nimeupenda sana ushauri huuMkuu weka kwenye Kibubu ...
Huu nao ni ushauri mzuri pia.Ingawaje mimi sio mwanauchumi au chochote karibu na hapo ila nadhani ni busara zaidi kuihifadhi fedha yako kwenye mzunguko fulani wa biashara wenye uhakika. Au kama una fedha za kutosha unaweza ukawekeza kwenye kitu fulani cha muda mrefu mfano shamba la miti nk (economists mnisaidie kuweka baadhi ya mambo sawa hapo)