USHAURI WA BIASHARA KWA MTAJI WA TZS MILIONI 30–50 (DAR ES SALAAM)
Habari wadau,
Nina mtaji wa kuanzia kati ya TZS milioni 30 hadi 50 na nipo Dar es Salaam. Naomba ushauri wenu kuhusu biashara zenye fursa nzuri za ukuaji na faida kwa kiwango hiki cha mtaji.
Ningependa kupata maoni yenu kuhusu:
Nashukuru kwa ushauri na uzoefu wenu.

- Biashara gani zinafanya vizuri kwa sasa Dar es Salaam?
- Ni sekta zipi zinaonekana kuwa na fursa kubwa kwa miaka ijayo?
- Changamoto zipi za kuzingatia kabla ya kuanza?
- Kwa wenye uzoefu, ni biashara gani mngependekeza kwa mtaji huu?
Nashukuru kwa ushauri na uzoefu wenu.