Ushauri wa biashara, Semina za Ujasiriamali na kuandaa Michanganuo

Ushauri wa biashara, Semina za Ujasiriamali na kuandaa Michanganuo

ngosh

Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
48
Reaction score
40
CPM Business Consultants, ni Kampuni inayojihusisha na kutoa ushauri wa biahshara kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa. Pia inatoa ushauri kwa wa uendeshaji wa Mashirika yasiyo ya kiserikali NGO. Kampuni hii ilisajiliwa mwezi mei mwaka 2012 na kuanza kazi mwezi Desemba 2013.
CPM Business Consultants inao wataalamu washauri wenye fani za Biashara, uchumi, uongozi na maswala ya fedha.Wataalamu wasomi wanye ngazi ya shahada na shahada za uzamili. Pia wataalamu hao wana uzoefu usiopungua miaka 25 katika utendaji kwenye fani zao. Makao makuu ya CPM Business Consultants ni Kimara Baruti.


MALENGO YA KAMPUNI
Malengo yetu ni kutoa huduma bora za ushauri kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,kwa SACCOS na Asasi zisizo za kiserikali NGO ili ziweze kuendesha shughuli zao kwa ufanisi.


DIRA YA KAMPUNI
Tunaamini kwamba matatizo yanayozuia maendeleo ya Wajasiriamali Tanzania ni pamoja na ukosefu wa mitaji na elimu ya biashara,hivyo lengo lake ni kuhakikisha anatoa elimu ya biashara na uendeshaji ili biashara na asasi ziweze kuendeshwa kwa ufanisi.
HUDUMA ZETU
1.Kutoa ushauri wa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,
2.Kuandaa michanganuuo kwa ajili ya kuomba mikopo benki na misaada kutoka kwa wafadhili.
3.Kutoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wafanyabiashara.
4.Kuandaa mifumo ya utunzaji wa mahesabu na kuweka mifumo ya Kompyuta kwenye utunzaji wa hesabu.
5.Kuandaa katiba za vyama na nyaraka za uandikishaji wa makampuni.
6.Kuandaa nyaraka za Tenda.
7.Kutoa ushauri kwa SACCOS ili ziendeshwe kwa ufanisi.
8.Kutoa ushauri kwa Asasi zisizo za kiserikali NGO ili ziweze kuendesha shughuli zao kwa ufanisi.
9.Kutunga vitabu za biashara ili kuwafikia wafanyabiashara wengi zaidi.
10.Kutoa ushauri nasaha na semina kwa wanafunzi na vijana.
11. Kutoa mafunzo ya usindikaji na utengenezaji wa bidhaa za viwanda na kilimo kama vile, sabuni,shampoo, kilimo cha uyoga na bustani inayotembea.
12. Kufanya uchunguzi wa ubadhirifu na mapungufu katika uendeshaji wa biashara na kutoa ufumbuzi.
13. Kuendesha mafunzo ya namna ya kujiandaa kustaafu.


MIPANGO YAKE YA BAADAYE
Kuimarisha biashara yetu ili iweze kuenea mikoa yote ya Tanzania.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0784394701 au 255755394701
 
nimeipenda hyo mi napenda kujua katika kutoa mafunzo hayo kuna malpo ambayo analpa anayejifunza?
 
sijasoma yote maana tumbo linauma, cjickii vzuri, nisaidie vp mikopo mnatoa?
 
nimeipenda hyo mi napenda kujua katika kutoa mafunzo hayo kuna malpo ambayo analpa anayejifunza?

Violeth j Kanuti tutatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi na kwa mtu moja mmoja kwa vikundi tunatoza sh 15,000 kwa wanakikundi kuanzia watu 20. Kwa mtu mmoja mmoja tunatoza sh. 20,000 kwa aina zote za semina
 
Back
Top Bottom