Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #21
Nimeanza from scratch mkuu kamtaji ka maandaziPanua soko makava ambayo yanapitwa kimuonekano huwa yanasambazwa sehem za mbali asikudanganye mtu kava iliyo pitwa fashion Dar kule Maswa bado ni sukari
Swala ni kuwa na mtandao tu una mpushia mtu kwa jumla