Kwema mkuu, kwa kifupi Mimi ni mhusika wa biashara hii kwa muda sasa ninaagiza mashine pamoja na funguo.
Nipm tuongee
bei ya kuchonga funguo huwa ikoje? nina funguo zangu zimebaki moja moja yani had naogopa kutembea nazo nimeanza mtindo wa zamani wa kuzichimbia mahali,kwa kuogopa zipotezaKwema mkuu, kwa kifupi Mimi ni mhusika wa biashara hii kwa muda sasa ninaagiza mashine pamoja na funguo.
Nipm tuongee
bei ya kuchonga funguo huwa ikoje? nina funguo zangu zimebaki moja moja yani had naogopa kutembea nazo nimeanza mtindo wa zamani wa kuzichimbia mahali,kwa kuogopa zipoteza