Ushauri wa Biashara ya Kuchonga Funguo

Ushauri wa Biashara ya Kuchonga Funguo

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Nimeifikiria sana hii biashara ya kuchonga funguo za milango ya nyumba,vitasa na funguo za magari nikaona kuwa naweza kuifanya nikaongeza kipato hasa ukizingitia mahali nilipo huduma hii haipo.

Hivyo napenda kutapata ushauri wenu taratibu maana ya kupata kibali na mashine zinazochonga pia ushauri wa kitaalamu maana sijawahi kufanya hii kazi.

Je nikiasi gani cha mtaji natakiwa nianze nacho na wapi nitapata mashine kwa hapa Dar es salaam.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda mabibo hostel. Ukivuka barabara wapo jamaa 2 wanafanya hiyo watakupa ushauri mzr. Naona humu ndani wameshindwa.
 
Kwema mkuu, kwa kifupi Mimi ni mhusika wa biashara hii kwa muda sasa ninaagiza mashine pamoja na funguo.
Nipm tuongee
 
Kwema mkuu, kwa kifupi Mimi ni mhusika wa biashara hii kwa muda sasa ninaagiza mashine pamoja na funguo.
Nipm tuongee

kwa manufaa yetu sote ungeweka hapa sote tugenufaika na huwezi jua twaweza kuwa wateja wako wa hivyo vifaa
 
OK! Biashara hii haihitaji capital kubwa sana, lakkni kaanza ni muhimu kumiliki vibali vya serikali kuliko biashara nyingine yoyote mashine za kawaida moja ni 1.8m za kawaida zinahitajika mashine mbili ambazo ni 3.6m kama utahitaji mashine ya Funguo za sensor ni 5.6. Bei ya Funguo (material) inaanzia 600 hadi 30,000 kwa moja mulingana na materrial unayohitaji
 
Kwema mkuu, kwa kifupi Mimi ni mhusika wa biashara hii kwa muda sasa ninaagiza mashine pamoja na funguo.
Nipm tuongee
bei ya kuchonga funguo huwa ikoje? nina funguo zangu zimebaki moja moja yani had naogopa kutembea nazo nimeanza mtindo wa zamani wa kuzichimbia mahali,kwa kuogopa zipoteza
 
bei ya kuchonga funguo huwa ikoje? nina funguo zangu zimebaki moja moja yani had naogopa kutembea nazo nimeanza mtindo wa zamani wa kuzichimbia mahali,kwa kuogopa zipoteza

Ushachonga?
 
Naomba msaada wa namna ya kuanza hii kazi ya uchongaji wa funguo pia 0718436694
 
Back
Top Bottom