Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar, Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba
Pili...biashara yang itakuwa inahusika n wafanya biashara wadogo wadogo
Sawa, process za kusajili mpaka inakamilika zikoje haswa swala la Kodi na mambo mengine....bcoz nafungua Kam enterprise.....Sijui mtu anawezaje kufanya hiyo biashara, inalipa sana, nilijaribu kufanya, kuona watu wanavyoteseka na ukatili unaofanywa na vijana wangu, nikasaemehe madeni nikafunga.
Sisemi usifanye, ila sio namna ya amana na kipato chenye furaha, ni vikao na watu wenye changamoto, ni kuwaona kila siku wanakuja kulia lia na kulalamika, ni shida kwa kweli.
Sawa, process za kusajili mpaka inakamilika zikoje haswa swala la Kodi na mambo mengine....bcoz nafungua Kam enterprise.....
Aende gym ili aweje kwani amekwambia anataka kwenda kupigana.? Ajifunze roho mbaya ili iweje kwani amesema anatafuta uchawi mkuu.Business name, tin, estimate mapato, leseni, straight forward. Pia anza kwenda Gym na ku exercise kuwa na roho mbaya.
Aende gym ili aweje kwani amekwambia anataka kwenda kupigana.? Ajifunze roho mbaya ili iweje kwani amesema anatafuta uchawi mkuu.
Hii biashara ni sawa na biashara zingine, hii biashara Haina nia ya kumnyonya mteja isipokua mteja anakuja kuchukua pesa ambayo Hana uwezo wa kuilipa.
Watanzania hawana elimu juu ya maswala ya kifedha leo anachukua laki tatu anaitumia yote sku moja anabaki kuhangaika na madeni.
Nikuulize swali ni bidhaa ngapi zenye thamani ya laki moja zinauzwa kwa faida ya zaidi ya %20 .? Mbona huwasemei hao .?
Shida ya hii mikopo inamlenga mtu maskini wa mwisho kabisa ambae pengine chanzo Cha kumwingizia pesa sio Cha uhakika.
Ukitaka kufungua bussiness name nicheki nkufungulieNi kweli ila tutapambana hvyo hvyo
NdiyooBusiness name lazima hiwe registered BRELA?
Habari mkuu. Kama utahitaji kusaidiwa michakato yote ya usajilo wa kampuni ya microfinance huko BRELA kisha kusaidiwa ufuatiliaji wa kibali BoT basi usisite kutuona.Habar, Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba
Pili...biashara yang itakuwa inahusika n wafanya biashara wadogo wadogo