Ushauri wa biashara ya kutoa mikopo

Ushauri wa biashara ya kutoa mikopo

rovita

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
17
Reaction score
7
Habar,

Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba

Pili...biashara yang itakuwa inahusika n wafanya biashara wadogo wadogo
 
Huku mtaani inaitwa mikopo ya moto. Ngoja ndugu zako wanaofanya hiyo biashara waje kukupa muongozo.

Kwa kweli huwa ninawaonea sana huruma akina mama wanao hangaika na marejesho ya kila siku ya aina hii ya mikopo. Akichelewa tu, siyo kukuromewa huko.
 
Habar, Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba
Pili...biashara yang itakuwa inahusika n wafanya biashara wadogo wadogo

Sijui mtu anawezaje kufanya hiyo biashara, inalipa sana, nilijaribu kufanya, kuona watu wanavyoteseka na ukatili unaofanywa na vijana wangu, nikasaemehe madeni nikafunga.

Sisemi usifanye, ila sio namna ya amana na kipato chenye furaha, ni vikao na watu wenye changamoto, ni kuwaona kila siku wanakuja kulia lia na kulalamika, ni shida kwa kweli.
 
Sawa, process za kusajili mpaka inakamilika zikoje haswa swala la Kodi na mambo mengine....bcoz nafungua Kam enterprise.....
 
Business name, tin, estimate mapato, leseni, straight forward. Pia anza kwenda Gym na ku exercise kuwa na roho mbaya.
 
Aende gym ili aweje kwani amekwambia anataka kwenda kupigana.? Ajifunze roho mbaya ili iweje kwani amesema anatafuta uchawi mkuu.

Hii biashara ni sawa na biashara zingine, hii biashara Haina nia ya kumnyonya mteja isipokua mteja anakuja kuchukua pesa ambayo Hana uwezo wa kuilipa.

Watanzania hawana elimu juu ya maswala ya kifedha leo anachukua laki tatu anaitumia yote sku moja anabaki kuhangaika na madeni.

Nikuulize swali ni bidhaa ngapi zenye thamani ya laki moja zinauzwa kwa faida ya zaidi ya %20 .? Mbona huwasemei hao .?

Shida ya hii mikopo inamlenga mtu maskini wa mwisho kabisa ambae pengine chanzo Cha kumwingizia pesa sio Cha uhakika.
 
Kaomba ushauri yeye, wewe huku unanisimanga, hemu niambie ni sehemu gani ambayo inakuhusu?

Hao wa Tanzania wasiokua na elimu ya fedha si ndo wateja wake au?
 
hii biashara inalipa kama utakopesha watu wanaojielewa, hasa wenye uhakika wa kipato mwisho wa mwezi. Waalimu na wafanyakazi wengine wa serikali wawe first priority, wale wanaofanya private sector pia. ila usije kukopesa mfanyabiashara, don't every try it. utakuja kunishukuru. pia kwa mtu wa mahakamani kama mimi, unajua huwezi kukopesha mtu asiweke rehani hasa kama pesa inazidi milioni moja. alete hati ya ardhi, kadi ya gari n.k, la sivyo, utaliwa na unaweza hata kuuliwa na unaowadai ili wapoteze deni.
 
Dah sema hii biashara bhana ni pasua kichwa sanaa
 
Hii biashara nasikia inalipa sana. Ila haipendi watu wenye huruma kwenye kudai hela za marejesho.
 
Habar, Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba
Pili...biashara yang itakuwa inahusika n wafanya biashara wadogo wadogo
Habari mkuu. Kama utahitaji kusaidiwa michakato yote ya usajilo wa kampuni ya microfinance huko BRELA kisha kusaidiwa ufuatiliaji wa kibali BoT basi usisite kutuona.
Gharama zetu ni nafuu na tunafanya kazi ndani ya muda mfupi.
Karibu sana.
0755963775 calls/WhatsApp
 
Back
Top Bottom