'ni angetaja sehem aliyopo kama ulivyomuuliza mkuu then ungepewa mawazo pia si mbaya ukasema nna kiasi flani kama kianzio na vitu kama hivyo watu wangekupa mawazo...............ila bado wadau wana-deal na mambo ya siasa ngoja wamalize watakuja tu kukujibu JF tena,sio bookface hapa jibu utapatiwa tu,na pia ungejaribu kutafuta baadhi ya topix i hope hilo swali linaweza kuwa limeshajadiliwa jaribu kutafuta baadhi ya topix zinazohusiana ni hiyo mada yako sio...'