Ushauri Wa Biashara Ya Mgahawa "Restaurant"

Ushauri Wa Biashara Ya Mgahawa "Restaurant"

Purgatory

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
21
Reaction score
11
Ndg WanaJF.
Nahitaji Msaada Wa Kimawazo Juu Ya Kuanzisha Biashara Ya Mgahawa.
 
'ni angetaja sehem aliyopo kama ulivyomuuliza mkuu then ungepewa mawazo pia si mbaya ukasema nna kiasi flani kama kianzio na vitu kama hivyo watu wangekupa mawazo...............ila bado wadau wana-deal na mambo ya siasa ngoja wamalize watakuja tu kukujibu JF tena,sio bookface hapa jibu utapatiwa tu,na pia ungejaribu kutafuta baadhi ya topix i hope hilo swali linaweza kuwa limeshajadiliwa jaribu kutafuta baadhi ya topix zinazohusiana ni hiyo mada yako sio...'
 
Tutakusaidiaje mzee hujajiweka wazi. Hatujui hata msaada unaohitaji ni wa aina gani.
 
Back
Top Bottom