USHAURI WA.BIASHARA

USHAURI WA.BIASHARA

Joined
Aug 17, 2016
Posts
69
Reaction score
45
Samahanini ndugu mm naombeni ushauri

nataka kuanzisha biashara ya ps kuchezesha gemu
lakin ninamtaji mdogo sana

kutokana na udogo wa mtaji nuliokuwa nao nataka kuanza na ps2 na tv ya chogo ndogo

ninachotaka kwenu ni ushauri nifanyaje ile niwe tofauti na wengine ili niweze kupata wateja wengi zaid
kwa wenye uzoefu na mambo hayo naombeni msaada wenu jaman
 
"....ninachotaka kwenu ni ushauri nifanyaje ile niwe tofauti na wengine ili niweze kupata wateja wengi zaid "


UBUNIFU NDIO KILA KITU MKUU KWENYE BIASHARA
 
Back
Top Bottom