Ushauri wa biashara

Ushauri wa biashara

Nilifikiria biashara ya electronics lakn naona kama na yenyewe imedorora sana kwa sasa,
kwenye m210 una idea moja tu?kaka kuwa serious bana hapo unatakiwa udiversify biashara kama 2 hivi au 3 za maana na mpunga unabaki bank wa back up
 
fala wewe!! ila jamaa ana pesa ndefu hatar natamani kumuomba hata laki 2 niboreshe biashara yangu ,
Kama ni kisu, kimechoma hadi kwenye mfupa.... tehteehhh [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
Miruzi mingi inampoteza mbwa kuwa makini
 
Umepata wapi iyo pesa kwa awamu hii.Ebu kuwa serious million 210,huna wazo la biashara wakati threads zako nyingi humu wewe ni mtu wa technology sana.
Arooo Buraza ebu eleza vizuri
Kwajinsi alivyo elezea, mimi nimemuelewa vuzuri sana mkuu. Na sina shaka kabisa na hiyo fedha alionayo
 
Kwa kuwa unauzoefu katik uchimbaji, nakushauri uanze kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo hapo geita, tenga hata 10 million utaona faida yake. Unachotakiwa kuwanacho makini ni timu ambayo utakayofanyanayo kazi.
NB hakuna biashara ambayo haina changamoto!
Ebu acha kupoteza huyu jamaa, ununuzi wa Dhahabu unahitaji mambo mengi sana ya kujiandaa pamoja na mikakati, pia security and uamunifu.
Pia usije ukadhania kila aliefanya kwenye migodi anaijua dhahabu aiseeeee... Kuna watu ninawajua walifanya kwa miaka 15 lakini hawajawahi hata kuiona Dhahabu inavyo fanana.
 
Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria, mimi nilikua kwe ajira mda mref , ku transform mawazo yangu haraka haraka kwenda kwenye ujasiriamali na kuona fursa sio kitu kidogo. Twende tu taratibu.
 
Uko sahihi. Lakini rejea nilichoandika mkuu!
 
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
Ushauri wangu kwako bro, najua hapo ulipo kichwa chako hakitulii ukitamani kufanya kila kitu na kila unachotaman unaona kinachelewa kukulipa

Ukishindwa kabisa unaweza kuchukua ushauri wangu

Nunua gari kubwa ya mzigo tendam jifunze udereva wakati gari umeagiza chukua leseni na vibar vyote gari ikifika endesha mwenyewe ukitoa mzigo mikoani na kuleta dsm ukichukua tender sehem tofauti

Pesa nyingine itunze mpaka utakapoona matunda ya hiyo gari yako, na utakapokuwa mzoefu unaweza kuongeza gari nyingine na kufungua kampuni ya usafirishaji,

Usisahau kunilipa ukishapata faida kama ukitumia wazo langu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama ni kisu, kimechoma hadi kwenye mfupa.... tehteehhh [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nina ideas kama 4 hivi,ushimen mwambie aje pm tutapata tu mwafaka
 
Wabongo tunajua sana kutoa ushauri.

Kwa vile una uzoefu na uchimbaji rudi porini ununue marudio uanze uchenjuaji. Am sure ndani ya miezi sita utakuwa unaongelea billions.
Aiseeeee.......
Mkuu, hivi unaweza ukakokotoa hata kidogo hiyo aina ya biashara unayo mshauri jamaa aifanye?
Ebu wakati mwingine msipende kuchukulia mambo ya uchenjuaji kiurahisi namnahiyo
 
Mkuu kuna bosi wangu ana kama mara mbili ya huo mtaji wangu na yeye ananiuliza mimi afanye biashara gan, pesa sio idea.
Hii ndio hasara ya kuishi maisha ya migodini kwa miaka mingi, yaani unakosa exposure kabisaaaa na ukirudi huku kitaa unakua kama mtu mgeni kwa kila jambo na mwisho wa siku unaishiwa na kurudi kwenye kuajiriwa tena kama Zagalo, Big Mose na kundilao
 
Jenga brands kwenye FMCG na kuzisambaza kwenye Retail Chains. Mimi sina mtaji ila kama uko tayari tushirikiane kutest wazo langu, nipo !

- Unaweza kuanza hata na 20M kupima upepo !
 
Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria, mimi nilikua kwe ajira mda mref , ku transform mawazo yangu haraka haraka kwenda kwenye ujasiriamali na kuona fursa sio kitu kidogo. Twende tu taratibu.
Mkuu kama upo serious njoo inbox tuongee,kama upo dar itakuwa vizuri
 
Kwa kuwa unauzoefu katik uchimbaji, nakushauri uanze kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo hapo geita, tenga hata 10 million utaona faida yake. Unachotakiwa kuwanacho makini ni timu ambayo utakayofanyanayo kazi.
NB hakuna biashara ambayo haina changamoto!
Ahsante kwa maoni yako. Biashara hiyo inachangamoto nyingi hasa za kiu salama, sitaki kabisa kurudi huko.
 
Ahsante kwa maoni ya
Ushauri wangu kwako bro, najua hapo ulipo kichwa chako hakitulii ukitamani kufanya kila kitu na kila unachotaman unaona kinachelewa kukulipa

Ukishindwa kabisa unaweza kuchukua ushauri wangu

Nunua gari kubwa ya mzigo tendam jifunze udereva wakati gari umeagiza chukua leseni na vibar vyote gari ikifika endesha mwenyewe ukitoa mzigo mikoani na kuleta dsm ukichukua tender sehem tofauti

Pesa nyingine itunze mpaka utakapoona matunda ya hiyo gari yako, na utakapokuwa mzoefu unaweza kuongeza gari nyingine na kufungua kampuni ya usafirishaji,

Usisahau kunilipa ukishapata faida kama ukitumia wazo langu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahsante kwa maoni yako ndugu, ntafatilia fursa hiyo niione ikoje.
 
Back
Top Bottom