Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uza matunda, karanga, kashata, fegi, pipi.Kwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Acha masihara ndio maana uzi wako watu wameudharauKwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Kwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
HahahaBiashara ya aina hii, kufel ni asubuh
Soksi na nguo za ndani hasa za wadadaKwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Hivi wadada wanapenda sana kuwa na nguo nyingi? Huwa najiuliza sana uwiano wa bidhaa za wadada na men ni tofauti kabisa katika maduka 10 ya nguo au viatu , matatu au manne yanahusu nguo za kiume au viatu
Vitu vyao ni bei rahisi sanaHivi wadada wanapenda sana kuwa na nguo nyingi? Huwa najiuliza sana uwiano wa bidhaa za wadada na men ni tofauti kabisa katika maduka 10 ya nguo au viatu , matatu au manne yanahusu nguo za kiume au viatu
We unazungusha nini kati ya hivyo? 😂😂😂Uza matunda, karanga, kashata, fegi, pipi.
Tafuta meza au toroli uwe unazungusha mitaani hasa karibu na shule au minada.
mshamba_hachekwi njoo uchukue business idea ukitoka MUST usishangae tu kitaani 🤣🤣🤣Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
nikimaliza nakutafuta mwanangu huwezi nitupa mkonomshamba_hachekwi njoo uchukue business idea ukitoka MUST usishangae tu kitaani 🤣🤣🤣
Nazungusha biaWe unazungusha nini kati ya hivyo? 😂😂😂
Yaani hiyo business idea ya huyo jamaa imenivunja mbavu mpk watu wananishangaa 😂😂😂😂nikimaliza nakutafuta mwanangu huwezi nitupa mkono
Ndiomana muda wote kichwa kiko moto 😂😂😂Nazungusha bia
Sana siuzi sumu mimi 😂Ndiomana muda wote kichwa kiko moto 😂😂😂
dar hamuwezi ila huku bush kuna kitimoto cha 1500Yaani hiyo business idea ya huyo jamaa imenivunja mbavu mpk watu wananishangaa 😂😂😂😂
Na mie niweke hapo tuwe tunawaonjea wateja 😂😂😂Sana siuzi sumu mimi 😂
Ko unakula mazaga ya kitimoto? 😂😂😂😂dar hamuwezi ila huku bush kuna kitimoto cha 1500
ni wewe tu kujua machimbo