Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Twenzetu pm ππππ hujasahau dah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twenzetu pm ππππ hujasahau dah!!
Nunua chuma chakavuKwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
Pm kufanya nini? πππTwenzetu pm π
Nitamuua huyo mbwaPm kufanya nini? πππ
Kuna mbwa mkali yuko mlangoni
πππ Ana kichaa akikungβata huponi jiraniNitamuua huyo mbwa
Niache ning'atwe ππππ Ana kichaa akikungβata huponi jirani
Utakufa πππNiache ning'atwe π
Umeanza lini kunijali hivyo?Utakufa πππ
We jifanye sikio la kufa
Ko nikuache ufe? πππUmeanza lini kunijali hivyo?
Laki niitoe wapi[emoji23]Countrywide boss wangu nifanyie mpango unipe laki ya mtaji niifanye hii biashara, nasikia inalipa nitapiga pesa nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wateja nishawapata jirani yangu Half american na shem wangu mshamba_hachekwi
Nasikia Arusha hii biashara ya mazaga ya kitimoto inalipa sana ππππLaki niitoe wapi[emoji23]
Mm mwenyewe hapa navizia uwinga
Safi hii [emoji106]Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
kila la heriSafi hii [emoji106]