Ushauri wa biashra nzuri ya kufanya Dar es Salaam

Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
 
Kwa mtaji ulionao fanya biashara yoyote ile ambayo ni fursa katika eneo ulilopo ili kukuza mtaji na kuweza kufanya biashara nzuri
 
mshamba_hachekwi njoo uchukue business idea ukitoka MUST usishangae tu kitaani 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…