Ushauri wa biashra nzuri ya kufanya Dar es Salaam

[emoji23] wamekuja wadangaji wameshaharibu uzi wa dogojanja
 
Laki niitoe wapi[emoji23]

Mm mwenyewe hapa navizia uwinga
Nasikia Arusha hii biashara ya mazaga ya kitimoto inalipa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamchagui cha kuweka mdomoni
 
Naona watu wameingiza story zao binafsi mpaka uzi umepoteza lengo lake. Shusheni idea za michongo basi angalao na sisi daiwakaz tukiliotea dili tuwe tayari na idea kichwani
 
Safi hii [emoji106]
 
Nenda masoko makubwa yenye population ya watu weng mfno ilala,bugurun ,sterio,mabibo nk tafuta sehem mbel ya duka la mtu umlipe per day kaanga mihogo mixa kachumbal ya pili pili nzur ,kuwa msafi pia andika na kibao wek namb ya simu unafanya deliver kwa eneo ndan ya soko ,zingatia hili usaf .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…