Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

Mkuu Allen Kilewella ,kwanza naomba kukiri wewe ni one among the few, the very best that we have interms of objectivity, thanks kwa kukichambua hicho kifungu objectively, thanks for this.

Sheria haisemi kila kitu, unapobaki mwaka mmoja kabla ya kuvunjwa Bunge, kuktokea kiti chochote wazi, hakitangazwi!,nafasi za uteuzi ni kwa vile viti 10 vya rais.

Katiba yetu ni mbovu na batili,sheria zetu ni mbovu na batili, wanasheria wetu wabovu hivyo serikali yetu,imetunga muswada wa sheria batili, bunge letu,limepitisha hiyo sheria batili rais wetu ameisaini hiyo sheria batili, ila rais wetu tunamsamehe kwasababu yeye sio mwanasheria.

Mimi mwenyewe nimelielimisha hili mara 3.
P
 
Mbona hile FILE walishalifunga mkuu Paschal..tena aliongea Katibu Mkuu ,Mnyika mwenyewe kwamba wale sio wanachama wao tenaa na hawahusiki nao kwa namna yoyote
 
Ukinielimisha mipaka ya ushauri wa bure, nitakushukuru

Kivipi?

Kivipi?
P

Ushauri wa bure wa kitu gani na katiba na sheria zao wanazo ?? Kama una ushaurui wa bure waendee wenyewe Makao makuu yao au waandikie barua rasmi huenda wakakusikiliza

CCwao ndio mara nyingi huwa hawafuati katiba wala sheria zao hutuambia wanafuata utamaduni , kwa mfano katika kupata mgombea wa uraisi
 
Naunga mkono hoja, wawasamehe maisha yaendelee. Ushauri kama huu na mimi nimewapa hapa.
P
 
Huu ni ushauri wangu wa siku nyingi kwa Chadema iwasamehe tuu hawa makamanda wadada na mashangazi
Nimeliona andiko hili japo sijalisoma its contents lakini hii ni habari njema kwa Chadema View attachment 3064986 kwasababu itawaepushia karma ya machozi, jasho na damu ya makamanda hawa.

Hiki ambacho Chadema inakwenda kukifanya sasa, mimi niliwashauri kitambo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Hata baada ya Chadema kushinda kesi mahakamani kuwa wametimuliwa kihalali, bado tuliwashauri Chadema
Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
Na hili la kuwasamehe likija kutokea, mimi ni miongoni mwa tutakao farijika sana kwasababu tulishauri, tukapuuzwa, ila ushauri wetu unatekelezwa step by step Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

Wawasamehe tuu yaishe!.
P
 
Tundu Lissu akilifanya hili, atabarikiwa sana!.
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.

P
 
Siku mahakama ilipotoa uamuzi wa kuthibitishwa kufukuzwa kwao ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kuwa wanachadema na ukurasa ukafungwa, hebu leta mada nyingine isiyowahusu hao, najua bado unataka hao 19 washinde kesi na ufurahi Chadema kushindwa kama Post zako zilivyokuwa zinajieleza, hilo haliwezekani, halafu mbona nilisikia jina lako Pascsl Mayalla kwenye Chadema kundi la kanda ya ziwa, hongera.
 
Licha ya hizo hoja zako nzuri sana,muongoni mwa hao wanawake,ni wake za viongozi wa chadema,lakini wana baria ya uteuzi iliyotiwa saini na mbowe,hawawezi kuwafukuza
 
Tundu Lissu akilifanya hili, atabarikiwa sana!.
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.

P
Kaka MSHANA , wasaliti hawapaswi kusamehewa, wamesababisha maumivu sana kwa watanzani, wale ugali walipoleleka mboga!
 
Umeshindwa kumshauri mwenyekiti wako na mzee wako Kikwete kwamba kumpisha mgombea urais bila kuchukua fomu ya kuomba huo urais ni uvunjaji wa katiba , kupitshwa bila kutafuta wadhamini mikoa kumi bars na miwili Zanzibar ni uvunjaji wa katiba ya ccm , kupitisha azimio amba halikuwemo kwenye ajenda ni uvunjaji wa katiba kawashauri hayo kwa , ukimaliza ndio uje huku sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…