Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

HAPO KWA SUALA HILI LA WABUNGE 19 CHADEMA IMEONYESHA UDHAIFU MKUBWA SANAAAA TENA SANAAA MIAKA MITANO HUKU WAKIJINASIBU WANA WANASHERIA NGULI HUKU WAKIJINASIBU KUWA WANA HAKI YA KILA KITU NA BADO WAMESHINDWA KUWATOA BUNGENI UKIONA HIVYO HOJA ZAO ZILIKUWA DHAIFU SANA KUWATOA HAO KINA DADA BUNGENI NA BADO WATAWATESA SANAAAA
Kwakuwa wewe umesema au? Je, wewe ni SI unit ya upi ni udhaifu na upi sio?
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  4. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  5. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  6. mkeka unaendelea...
Mkuu umekengeuka.
Kosa la kisiasa halivumiliwi.
Mbaya zaidi its a bad precedence.
 
Paskal, ushauri mzuri kabisa ila kwa chuki, akili mbovu na roho mbaya za wale wanaume waliokosa ubunge 2020 hasa wale walishindwa sidhani kama watakusikiliza. Inaelekea Mbowe, Heche, Msigwa, Sugu waliumia sana waliposhindwa kurudi bungeni, wanajua utamu wake na nje ya bunge ni sawa kama kumtoa samaki majini
Kama ni ushauri mzuri, wabebe uwapeleke kwenye chama chako pendwa. Nani alikwambia kuwa ushauri unalazimishwa kama unavyofanya hapa?
 
BAD LOSER
Vyovyote ndugu. Unajiona umetoa ushauri kumbe pumba tu. Wewe ni nani kujiona unaushauri bora kuliko wenye chama chao waliokaa na kuamua. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara. Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata kama huyapendi.
 
UMEKASIRIKA?!
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  4. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua
  5. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  6. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  7. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  9. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  10. mkeka unaendelea...

Kwani Chadema hawana katiba wala sheria zao hata uwape wewe ushauri ?? Yaani unajaribu kuigeuza ni CCM na maelezo yao ya kufuata utamaduni na kuipiga chini katiba yao ??
 
Hivi hua nasikia huyu Pasco Mayala ni mwanasheria?,😄
Naomba usisikie, naomba nikuhakikishie kuwa ni kweli, na sio tuu ni mwanasheria, maana kila aliyesomea sheria ni mwanasheria, bali mimi pia ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji nikiwasaidia watu kupata elimu ya katiba, sheria na haki, na sio wakili wa kwenda mahakamani.
Uwakili wangu, ninautumia kwenye maeneo haya

View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=sLBwhOZL1hitOa8j

View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=mkKHAhfAfBZXsK7H

View: https://youtu.be/Q2A65MLBLws?si=vyGdkP4bv3xkqm-K
Ukipata nafasi, kila Jumapili saa 3:00 karibu mitaa hii

View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=B4oEP3uchiTfL8Op
P
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  4. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua
  5. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  6. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  7. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  9. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  10. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
  11. Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
  12. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  13. mkeka unaendelea...
Mbowe anawajua mnyika hawajui...
Nadhani nimeeleweka
 
Mtu hawezi amini kama wewe ni mwanasheria/ umesoma Sheria!!!
Hii kesi nimuhimu kupatiwa judgement hata miaka 20 ijayo wenye akili wanaelewa.
We endelea kutangaza maonyesho ya sabasaba huko ndipo unapopawezea...
Na sijui kwanini paskali wengi huwa wazito kuelewa
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  4. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua
  5. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  6. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  7. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  9. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  10. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
  11. Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
  12. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  13. mkeka unaendelea...
Hata CHADEMA wasipoachana nao, hawana ubavu wa kutengua Ubunge wao
 
Back
Top Bottom