interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Hata kama siendi kanisani wala msikitini siwezi kuunga mkono kitendo kama hiki yaani baba yako mzazi hana hata hela ya matibabu anabangaiza halafu ww unagawa bima bure kwenye show za birthdays sijuw kwa watu pori kutafuta sifa kama si laana ni nn?
Ww ugomvi wa baba yako na mama yako ww unakuwasha nn?
Tupo tulotelekezwa had na mama wazazi lakn inapofikia habar ya mzaz ni mzaz hayo yote tunatupilia mbal maana tunajua nenda uendako sikio halitokuja kuzidi kichwa!!!hatuombei ila likitokea la kutokea utashangaa watu wanaongozana na maspika na makamera for show off!!!!!!! Watu had kuchomwa na majimoto tumechomwa lkn kwa wazaz hewala tunafurahia uwepo wao maana huwezi kubadilisha k2 hapo maana wazaz si marafiki useme utabadilisha!!!!!
Yaan inauma sana mzee wako hali yake ni kama vile halafu uko busy kujirekodi video ukihesabu mapesa na malaya zako yaan alokuloga nahisi alishakufa!!!!!!
NDIVYO TULIVYO HIVYO BINADAMU, MUNGU ATUSAIDIE SANA KWA KWELI.Ila siku baba yake akifa (ashakum si matusi) Diamond ataandaa mazishi ya kifahari!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
SI KWAMBA MAMA MZAZI ANAJUA ALICHOPANDIKIZA KWA MWANAYE DIAMOND?ana roho ngumu huyo na mamaake
Ngoja nifunge mjadala wangu mimi na wewe kwa kusema U KNOW NOTHING.Diamond hakukataliwa na baba yake.. waliishi pamoja hadi kaanza shule.. kama angekataliwa aliwezaje kuishi pamoja na QUEEN DARLIN ambaye wamekutana kwa HUYO BABA YAO?? Nachukia sana mtu atoe mchango bila ya kufanya angalau kauchunguzi makini...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huyu mzazi kaja kuomba msamaha baada ya diamond kufanikiwa tu hapo ata mimi simsamehi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwa akili zako unaelewa uwanaume ni nini? Je ni kutokulia mzazi wako akifa? Je ni kutokulia unapokatwa panga? Je ni kuishi bila kula siku nzima?MWANAUME RIJALI HAWEZI KAMWE KUINGILIA MAAMUZI YA UGOMVI WA WAZAZI WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika kwa herufi kubwa sana nikadhani una point kumbe pointless, ni wapi nimesema diamond alilishwa sumu ya maneno? Au unauelewa mdogo wa kusoma vitu na kuvielewa? Pole sana aiseeACHA UPUMBAVU WEWE, WAZAZI WAKE WALIPOKUWA WANAGONBANA DIAMOND ALIKUWEPO?
DIAMOND ANAJUA CHANZO CHA YEYE KUTELEKEZWA NI KIPI HASA NYUMA YA PAZIA?
UNA UHAKIKA GANI KAMA MAMA YAKE MZAZI ALIMPANDIKIZA CHUKI MWANAYE KUWA MAMA YAKE NI MALAIKA HAKUWA NA HATIA YOYOTE KTK KUTENGANA KWAO?
HUJUI SIKU ZOTE MWAMBA NGOMA NGOZI HUVUTIA KWAKE NA NDIYO SABABU MUHIMU HASA YA MAMA YAKE DIAMOND KUJITETEA KUWA HAKUWA CHANZO CHA MAFARAKANO YAO NA LABDA ALIAMUA AMPANDIKIZE DIAMOND CHUKI DHIDI YA BABA YAKE MZAZI?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji23]Naona umenitangulia kutoa hili wazo Chifu[emoji1787]
Safi sana, pia baraka huwa haiji kwa kujitangaza kwenye media ulivyosaidia watu bali hubakia kuwa siri yako mwenyewe na Muumba wako tu.Tena ni raha namna gani unaliona dingi lako limevaa kinyamwezi limependeza linakula matunda ya kiuno chake.
Nadhani ushirikina unamsumbua Diamond ndiyo maana aliweza kumnunulia gari Muidini Ngurumo na kumuacha baba yake anadhalilika kuomba chai kwa majirani.
Navyofahamu laana itatembea na baadhi ya watoto wa kiume kwenye uzao wa diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mzazi akukimbie au awatelekez mkiwa hamna akili timamu... Baba anawatelekeza mkiwa mnaona kabisa na mnajua hapa tumetelekzwa.. Huwa inakuwa ngumu sana kumuelewa mzazi wa aina hyo... Diamond ni kijana wa kiume baba alipowatelekeza yy atakua alichukua nafsi kubwa sana kuhakikisha mamb yanaend sawa nyimbn mpka kauza mitumba na mkumbke inasemkanaga diamond form four alifaulu lakin hakufanikiwa kuendelea kwa kukosa ada.. Kisaikolojia inaathir sana... haijalishi aliyewatelekeza anaish vzr au la.. Kama hamna taarifa nae yyte.. Nyie mtakuw mnafikiria tu mzee yupo huko anakula bata....! MIMI NI MUHANGA NINAJUA DIAMOND ANAVYO FEEL KWA MZEE WAKE....! Honestly nimekuja kumsamehe mzee dakika za mwisho kabla hajafariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA UTAIRA WEWE, WEWE MWENYEWE NI MALAIKA HUWAKOSEI WATU?Endelea kukarili maisha sasa shauri yako .... sio kila homa ni malaria
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh umeanza kunitukana tena ndugu ... niliacha muda mrefu kutokukujibu kwa kuwa nilijua tu kwamba aina ya uandishi wako ina muwakilisha mtu mwenye shari ... lakini bado tu ukaona haitoshi now umeanza kunitusi hadharani kabisaa ... AiseACHA UTAIRA WEWE, WEWE MWENYEWE NI MALAIKA HUWAKOSEI WATU?
WAMEKUSAMEHE MARA NGAPI AFU WEWE NDIWE UJIFANYE UMEKAMILIKA KTK KILA IDARA YA TABIA NJEMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi Diamond anavyoishi na mama yake ni ngumu sana kumsamehe huyo baba yake. Pia ni ngumu sana kuoa. Tatizo sio Diamond ni mama yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwa akili zako unaelewa uwanaume ni nini? Je ni kutokulia mzazi wako akifa? Je ni kutokulia unapokatwa panga? Je ni kuishi bila kula siku nzima?
Kama majibu yako yatakuwa tofauti acha kunijibu utadhihirisha ufinyu wako wa kufikiri
ACHA UZWAZWA MI NIMETOKA NNJE YA BOXI KIFIKRA SI KAMA WEWE ULIYEKARIRISHWA NA UTETEZI UCHWARA WA DIAMOND KUHUSU KUTELEKEZWA NA BABA YAKE MZAZI.umeandika kwa herufi kubwa sana nikadhani una point kumbe pointless, ni wapi nimesema diamond alilishwa sumu ya maneno? Au unauelewa mdogo wa kusoma vitu na kuvielewa? Pole sana aisee
Dahh umeanza kunitukana tena ndugu ... niliacha muda mrefu kutokukujibu kwa kuwa nilijua tu kwamba aina ya uandishi wako ina muwakilisha mtu mwenye shari ... lakini bado tu ukaona haitoshi now umeanza kunitusi hadharani kabisaa ... Aise
Sent using Jamii Forums mobile app