Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sahihi Sana, watu wengi humu ni wanafikiHujielewi " ...... wewe kama una fact ongea hapa tubishane kwa hoja " kama huna ." Basi piga kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto siyo kitegauchumi na mzazi ni mlezi.Hata sasa sijui kama anamjali au hamjali. Ninachoona mimi hakuna faida yeyote kwa Diamond akimwacha mzee aendelee kuhangaika. Ila ipo faida kubwa akimsaidia.
Mkuu kwann ww usimsaidie Mzee Abdul ,? Kama mtz mwenzako ?Hata kama siendi kanisani wala msikitini siwezi kuunga mkono kitendo kama hiki yaani baba yako mzazi hana hata hela ya matibabu anabangaiza halafu ww unagawa bima bure kwenye show za birthdays sijuw kwa watu pori kutafuta sifa kama si laana ni nn?
Ww ugomvi wa baba yako na mama yako ww unakuwasha nn?
Tupo tulotelekezwa had na mama wazazi lakn inapofikia habar ya mzaz ni mzaz hayo yote tunatupilia mbal maana tunajua nenda uendako sikio halitokuja kuzidi kichwa!!!hatuombei ila likitokea la kutokea utashangaa watu wanaongozana na maspika na makamera for show off!!!!!!! Watu had kuchomwa na majimoto tumechomwa lkn kwa wazaz hewala tunafurahia uwepo wao maana huwezi kubadilisha k2 hapo maana wazaz si marafiki useme utabadilisha!!!!!
Yaan inauma sana mzee wako hali yake ni kama vile halafu uko busy kujirekodi video ukihesabu mapesa na malaya zako yaan alokuloga nahisi alishakufa!!!!!!
Huwezi kujua labda anatuma pesa Kwa mzazi mwenzakeIla diamond naye mbona kama anafuata nyayo za baba ake. Mara ya mwisho kaenda kuona wanae lini. Anayomfanyia baba ake leo akifanyiwa yeye kesho atasemaje.
Kwa hili siwez mtetea unless na yeye angekua baba bora sio bora baba.
Huwezi kujua labda anatuma pesa Kwa mzazi mwenzake
Aahh tume shawazoea hao mkuuMkuu uko sahihi Sana, watu wengi humu ni wanafiki
Hujajua maumivu ya kukataliwa na mzazi wewe tena hilo neno la kumdharau futa.
Ni maumivu yasiyoelezeka wewe unazungumza tu kwa sababu ulipata malezi ya wazzi wote.
Kupewa pesa si tatizo yule mzee pesa anapata, tatizo ni msamaha ni kitu kigumu sana mwanadamu kukitoa, haihitaji media ili kupata msamaha anahitaji wasuluhishi shauri yake.
MWANAUME RIJALI HAWEZI KAMWE KUINGILIA MAAMUZI YA UGOMVI WA WAZAZI WAKE.Hujajua maumivu ya kukataliwa na mzazi wewe tena hilo neno la kumdharau futa.
Ni maumivu yasiyoelezeka wewe unazungumza tu kwa sababu ulipata malezi ya wazzi wote.
Kupewa pesa si tatizo yule mzee pesa anapata, tatizo ni msamaha ni kitu kigumu sana mwanadamu kukitoa, haihitaji media ili kupata msamaha anahitaji wasuluhishi shauri yake.
Diamond hakukataliwa na baba yake.. waliishi pamoja hadi kaanza shule.. kama angekataliwa aliwezaje kuishi pamoja na QUEEN DARLIN ambaye wamekutana kwa HUYO BABA YAO?? Nachukia sana mtu atoe mchango bila ya kufanya angalau kauchunguzi makini...Hujajua maumivu ya kukataliwa na mzazi wewe tena hilo neno la kumdharau futa.
Ni maumivu yasiyoelezeka wewe unazungumza tu kwa sababu ulipata malezi ya wazzi wote.
Kupewa pesa si tatizo yule mzee pesa anapata, tatizo ni msamaha ni kitu kigumu sana mwanadamu kukitoa, haihitaji media ili kupata msamaha anahitaji wasuluhishi shauri yake.
MKUBWA HAKOSEI SIKU ZOTE HADI KUFA KWAKO.Mnamuonea tu Huyo diamond ..... (mimi huwa sivutiwi na Tabia zake chafu chafu) ambazo zimenifanya nisimpende kabisaa"
Lakini kama ni kweli baba yake Alimtelekeza alipo kuwa mdogo kwaajili ya mgogoro na mzazi mwenzie
Basi ana stahiki kupatwa na hicho kinacho mfika " kwa sababu mtoto hakuwa na makosa
Huwa tuna vuna tunacho kipanda' so suala la kumuona diamond kuwa hamtendei haki baba yake " wakati baba yake mwenyewe mbegu aliyoipanda ndio hiyo" ni wazi mtakuwa mnanuonea tu diamond"....., mlitaka mzee avune karanga baada ya kupanda kokoto .. !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kukarili maisha sasa shauri yako .... sio kila homa ni malariaMKUBWA HAKOSEI SIKU ZOTE HADI KUFA KWAKO.
BABA NI BABA NA HATAKUWA MTOTO NA NI YEYE PEKEE DUNIANI KOTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANI SIKU HIZI WEWE NDIYE MSEMAJI MKUU WA BABA YAKE DIAMOND HADI ULISHAJUA ALICHOKUWA ANAKIWAZA ROHONI MWAKE WAKATI WOTE KABLA DIAMOND HAJAWA HIVYO?So kama aliambiwa nakuondoka na hiyo suruali ndio amsuse mtoto wake ...hahaa dahh so sad"....... kwahiyo kinachotaka kumrejesha kwa mtoto sasa hivi ni nini " !?, zile hasira sasa hivi zimeisha !?, now ndio anatambua kuwa diamond ni mwanae !?
Umeshawahi jiuliza swali !?, kama diamond asingekuwa hivi alivyo leo baba yake angeendelea kumlilia lilia !?
Sent using Jamii Forums mobile app
NDIYOMAANA TUNATAPELIWA HIVI HIVI KUPITIA MIKATABA FEKI KWA KUSAINI TU KARATASI BILA YA KUSOMA NA KUJUA KILICHOMO NDANI YAKE.Angekua hana kitu msingemwambia haya, funzo kwa wanaume wote wanaotelekeza familia zao halafu mtoto anapoibuka ndio wanaanza kutafuta ukaribu nao. Mleta mada samahani nimesoma tu kichwa cha habari
Sent using Jamii Forums mobile app
WALIKUPOTEZEA SABABU WAKATI MWINGINE KUKAA KIMYA NAKO NI MOJAWAPO YA KUWA NA HEKIMA.Simpendi diamond ... lakini kwakuwa katika maisha yangu nilichagua kuwa positive ... katika hili niko kwenye upande wake ....
Majuzi nilikuwa na bishana na watu kuhusu suala hili hili tweeter ", na hatimae walielewa tu "
Sent using Jamii Forums mobile app
HERI KUCHAGUA JINA JEMA, NA OLE WAKO UISHI NA VINYONGO UONE TUTAVYOKUSAHAU KWA SIKU CHACHE TU KWA KUJIZALISHIA MAGONJWA KIBAO MWILINI MWAKO.Hakuna kitu cha thamani hapa chini ya jua kuliko kusamehe..inakuweka huru,inavunja maagano ya kishetani,inaleta heshima,inakupa hadhi mbele za Mungu na wanadamu.
Daudi aliwahi kuandika Ee bwana Kama usingelirehemu,ni nani angesimama mbele zako?lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe"
Binafsi sishindwi kusamehe kosa lolote lile hata la mtu nisiyemjua..napendaga sana kusamehe kwa sababu inanipa furaha na amani.
NB:simanishi kuwa huwa sikasiriki,ila siwezi kuishi na kisasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu uko timamu kweli kichwani ama haukifahaumu unachokiongelea!!
Sent using Jamii Forums mobile app