Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Dude lilishaamshwa tayari, UmechelewaWanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa, alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama!, kujisetiri.
Miongoni mwa sifaa zake kuu,
Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!. Namshauri
this time around, atulie, tanyamaze kimya kama ananyolewaasithubutu kuliamsha dude!
Unataka kugombea tena jimbo la Kawe?Wanabodi,

Kuna mwajiriwa ana two optionsWanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama!, kujisetiri.
Miongoni mwa sifaa zake kuu,
Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!. Namshauri
this time around, atulie, tanyamaze kimya kama ananyolewaasithubutu kuliamsha dude!
Huyu si alilalamika njaa juzi, atakuwa anataka bahasha ya kakiUnataka kugombea tena jimbo la Kawe?
Mzee P huna ubavu wa kumfunga mdomo Gwajima,nani ambaye kamvua nguo!? Hivi unafikiri mpaka anaingia vitani Gwajima hajacalculate Aftermath!?!Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama!, kujisetiri.
Miongoni mwa sifaa zake kuu,
Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!. Namshauri
this time around, atulie, tanyamaze kimya kama ananyolewaasithubutu kuliamsha dude!
Serikali na huyu mayala wote ni kama wamechanganyikiwa hawaelewi gwajima anahoji kitu ganiMbona alichoongea hakuna uhusiano na mambo yanayojadiliwa kuhusu Gwajima na utekaji?
Nje ya mada
Mkuu nakuombea awamu hii Uchukue hilo jimbo. Nakumbuka awamu ile ulijitokeza mambo hayakwenda vizuri.
We nae chawa tu, huna maanaWanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, ni kuchutama!, kujisetiri.
Miongoni mwa sifaa zake kuu,
Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!. Namshauri
this time around, atulie, tanyamaze kimya kama ananyolewaasithubutu kuliamsha dude!
Kwa alivyo mpuuzi kesho atajidai analiamsha dude pale kwenye nyumba ya uongo ya ufufuo na uzima.Wanabodi,