Ushauri wa bure kwa Diamond 'Simba'

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Nidhahili huyu kijana mwenzetu anatisha balaa ukizungumzia makamilifu yake unaweza vimba vidole kwa kutype ukianzia humble beggining,hustle ,unyenyekevu,uvumilivu wa dharau ,kupambana na wivu (bob junior) Kijana amejipanga sana .

Kiroho safi tena nikiwa silipwi namshauli haya

1. Wasafi label yake ya muziki sio familia ya kama ilivyo so so def ya mamtoni kaziyake ni
kuvumbua vipaji na kuvitumia kibiashara ili viiletee wasafi faida ikuwe
NB: Naheshimu maisha ya kiki ya mahusiano na hata mama chibu (shikamoo !) unajua kumtumia ni jambo zuri na linafanyika duniani kote ,wamarekani wanafatilia maisha ya kanye na kadashian kuliko hata muziki wa kanye its nomal kabisaaaa

2. Wasafi ni lazima iwe na mfumo ulio wazi wa namna gani inasajili wasanii bora sana na sio kuingia wasafi kulala na kufurahia makiki na masafari big NOOOOOO ,Pia wasafi lazima impemsanii malengo yanayopimika na kutolewa wasafi lisiwe jambo la utashi wa diamond bali kampuni yake ya wasafi (management) ....ndege wanaporuka kwa kundi huwa hawashikani mabawa mfano Mboso na lavalava wanastahili watolewe kwa sasa hawajakidhi viwango vya wasafi mpaka sasa wasanii wamaana ukimtoa mondi my favourite namuona mavoko na harmonise tuuu and i dont settle less

3. Wasafi ni biashara ambayo lengo lake ni faida sio kijiwe cha matozi wala marafiki waimbaji i say bro big nooo sasa mnakoelekea mtaajiri mpishi wa wasafi wekeni cost benefit analysisi kuna huduma ni ghali ukikodisha ,zingine zapaswa kuzifanya na waajiriwa zingine ku-out source ,ni vizuri kuwa na studio yenu ila ni kosa kuwa na producer wenu mnachhitaji mikono yote msijifunge.

Ni hayo tu ,kuna msanii lazima mtamtaja wakati mi sjamuongelea
 
Kama yupo humu basi akipita atasoma ujumbe wako
 
nikiwa kama rayvanny nasokitishwa na hili[emoji35] [emoji35]
 
Azisha kampuni yako......anzisha mradi wako.......anzisha lebo yako......ndio uisimamie kwa hayo mawazo yako mazuri.... unaweza kukuta hata kiwanja huna ni mjanja mjanja wa mjini kutwa kucha mtandaoni ....watu wana make life hawajasoma sehemu yoyote..... wana mihela......wewe umesoma vitabu kibao.....umekariri idea za watu......hujatengeneza idea zako na kuzisimamia........hujafanikiwa mpaka leo maana hakuna anayefanikiwa kwa kutegemea idea za mtu mwingine....... leo unakuwa ndio mwalimu elekezii?????
 
".. mfano Mboso na lavalava wanastahili watolewe kwa sasa hawajakidhi viwango vya wasafi mpaka sasa "

Mbosso na Lavalava ile ni Hasara ya Kampuni. Bora na Lavalava kidogo.
 
Wewe nini kimekuumiza?
 
Wasafi naona lebo iliyo chini ya kifamilia zaidi mama,dada na kaka mkubwa mwenyewe hasa mama ana nguvu sana hadi anamchagulia jamaa nyapu za kukanyaga na kumfichia siri kwa nyapu zingine kwa hiyo mama ndio lebo yenyewe ya wasafi akichukuia huna nafasi

pia kuigeuza lebo kijiwe cha matozi upo sahihi na naona nguvu ya mziki wao inategemea wanawake wenye majina kufanya vizur ktk mziki wao ngoma nyingi zimeenda na kuamsha wanawake

sijajua kwa nini rayvan yupo nyuma sna ila namkubali mno na rich mavoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…