Kuna kitu duniani huwa kinawaburudisha wote ? afu burudani za wengine zinanihusuje mimi ! mi ni mtu mzima nakuelewa vizuri wewe ni mtata tu ,umeanzia kunishangaza kuwa mtu akiwa haja-archieve lolote na amesoma mi theory ming hapaswi kushauri nkakaa kimya nikikusoma uzuri kuna jamaa amekushauri vyema tu akakueleza ni mfumo wa maisha washauri wazuri huwa sio waliofanikiwa kaka aweza kufeli ndoa tatu akawa mshauri mzuri kwa mdogo anaeoa upya ,mkuu sifa moja kuu ya ukweli ni huwa hauna mmiliki mawazo mazuri yaweza toka kwa mtoto wa miaka kumi na tano ,mzee bahresa amehenya miaka na miaka utajiri wake haufiki 1 usd bilion anapitwa na mtoto kama Mo ,Mkuu nadhani utakuwa na mafanikio sana usitutenge sisi tusiokufikia tunayo ya kukusaidia pia