ha haha haha hahaAzisha kampuni yako......anzisha mradi wako.......anzisha lebo yako......ndio uisimamie kwa hayo mawazo yako mazuri.... unaweza kukuta hata kiwanja huna ni mjanja mjanja wa mjini kutwa kucha mtandaoni ....watu wana make life hawajasoma sehemu yoyote..... wana mihela......wewe umesoma vitabu kibao.....umekariri idea za watu......hujatengeneza idea zako na kuzisimamia........hujafanikiwa mpaka leo maana hakuna anayefanikiwa kwa kutegemea idea za mtu mwingine....... leo unakuwa ndio mwalimu elekezii?????
ha hahaaaNazi za Bakhresa au za mtini?
Pole sana mkuu, labda nikupe uelewa kidogo kwenye hizi kampuni kubwa wanaotoa idea na kuziongoza no wale ambao wanategemea mishahara ili waishi sio mamilionea. Wenye kampuni sio watendaji kwahiyo usidharau mtu kukosa Mali ni labda kutokua na idea.Azisha kampuni yako......anzisha mradi wako.......anzisha lebo yako......ndio uisimamie kwa hayo mawazo yako mazuri.... unaweza kukuta hata kiwanja huna ni mjanja mjanja wa mjini kutwa kucha mtandaoni ....watu wana make life hawajasoma sehemu yoyote..... wana mihela......wewe umesoma vitabu kibao.....umekariri idea za watu......hujatengeneza idea zako na kuzisimamia........hujafanikiwa mpaka leo maana hakuna anayefanikiwa kwa kutegemea idea za mtu mwingine....... leo unakuwa ndio mwalimu elekezii?????
Ok hata we ungekuwa rafiki yangu unamradi wako nikaona nalakushauri ningefanya hivyo,na mkuu unajuaje kama sina kazi roho nzuri bila kulipwa naitoa WAP,mkuu nadhani ni vyema ukawa mkalimu wa kauliAzisha kampuni yako......anzisha mradi wako.......anzisha lebo yako......ndio uisimamie kwa hayo mawazo yako mazuri.... unaweza kukuta hata kiwanja huna ni mjanja mjanja wa mjini kutwa kucha mtandaoni ....watu wana make life hawajasoma sehemu yoyote..... wana mihela......wewe umesoma vitabu kibao.....umekariri idea za watu......hujatengeneza idea zako na kuzisimamia........hujafanikiwa mpaka leo maana hakuna anayefanikiwa kwa kutegemea idea za mtu mwingine....... leo unakuwa ndio mwalimu elekezii?????
Kwan hii habari inaburudisha??T
Tunayo ila mda wa Mapumziko tunaburudika
tumsamehe ni exposure labdaPole sana mkuu, labda nikupe uelewa kidogo kwenye hizi kampuni kubwa wanaotoa idea na kuziongoza no wale ambao wanategemea mishahara ili waishi sio mamilionea. Wenye kampuni sio watendaji kwahiyo usidharau mtu kukosa Mali ni labda kutokua na idea.
Kuna kampuni zipo zinaitwa consultancy coy zenyewe zinawapa ushauri na mawazo kampuni nyingine kwenye masuala mbalimbali lkn ukiziangalia kiundani utagundua sio za kitajiri ila zinatoa ushauri kwa kampuni kubwa za kitajiri.
Nadhani tubadilike mtu akitoa maoni yake yaheshimiwe na mjibu kwa hoja km amekosea.
Kumbe imekuburudisha ww mi nilidhani woteMimi kuiandika inaniburudisha
Kuna kitu duniani huwa kinawaburudisha wote ? afu burudani za wengine zinanihusuje mimi ! mi ni mtu mzima nakuelewa vizuri wewe ni mtata tu ,umeanzia kunishangaza kuwa mtu akiwa haja-archieve lolote na amesoma mi theory ming hapaswi kushauri nkakaa kimya nikikusoma uzuri kuna jamaa amekushauri vyema tu akakueleza ni mfumo wa maisha washauri wazuri huwa sio waliofanikiwa kaka aweza kufeli ndoa tatu akawa mshauri mzuri kwa mdogo anaeoa upya ,mkuu sifa moja kuu ya ukweli ni huwa hauna mmiliki mawazo mazuri yaweza toka kwa mtoto wa miaka kumi na tano ,mzee bahresa amehenya miaka na miaka utajiri wake haufiki 1 usd bilion anapitwa na mtoto kama Mo ,Mkuu nadhani utakuwa na mafanikio sana usitutenge sisi tusiokufikia tunayo ya kukusaidia piaKumbe imekuburudisha ww mi nilidhani wote
Acha kejeli ww...kwan mnapungukiwaga nn mkimweleza mtu bila kumkejeli....Kuna kitu duniani huwa kinawaburudisha wote ? afu burudani za wengine zinanihusuje mimi ! mi ni mtu mzima nakuelewa vizuri wewe ni mtata tu ,umeanzia kunishangaza kuwa mtu akiwa haja-archieve lolote na amesoma mi theory ming hapaswi kushauri nkakaa kimya nikikusoma uzuri kuna jamaa amekushauri vyema tu akakueleza ni mfumo wa maisha washauri wazuri huwa sio waliofanikiwa kaka aweza kufeli ndoa tatu akawa mshauri mzuri kwa mdogo anaeoa upya ,mkuu sifa moja kuu ya ukweli ni huwa hauna mmiliki mawazo mazuri yaweza toka kwa mtoto wa miaka kumi na tano ,mzee bahresa amehenya miaka na miaka utajiri wake haufiki 1 usd bilion anapitwa na mtoto kama Mo ,Mkuu nadhani utakuwa na mafanikio sana usitutenge sisi tusiokufikia tunayo ya kukusaidia pia
Nimekukejeli wapi mkuu ili nikuombe radhi:Acha kejeli ww...kwan mnapungukiwaga nn mkimweleza mtu bila kumkejeli....
Hebu leta hiyo post niliyokuambia hayo unayoyasemaNimekukejeli wapi mkuu ili nikuombe radhi:
wewe umeniita
- mtoto wa mjini nisie na kazi
-sija fanikisha lolote
-nimejaa matheory
Ila nimechukulia labda ndio namna ulivyo inapaswa uheshimiwe pia
[emoji106]Sorry mkuu alisema hivyo bwana avogadro
yani mama domo akikukataa huna chako[emoji23] mpaka nmeanza kuamini uvumi kuwa mama na mwana wana KwichWasafi naona lebo iliyo chini ya kifamilia zaidi mama,dada na kaka mkubwa mwenyewe hasa mama ana nguvu sana hadi anamchagulia jamaa nyapu za kukanyaga na kumfichia siri kwa nyapu zingine kwa hiyo mama ndio lebo yenyewe ya wasafi akichukuia huna nafasi
pia kuigeuza lebo kijiwe cha matozi upo sahihi na naona nguvu ya mziki wao inategemea wanawake wenye majina kufanya vizur ktk mziki wao ngoma nyingi zimeenda na kuamsha wanawake
sijajua kwa nini rayvan yupo nyuma sna ila namkubali mno na rich mavoko.