lady nyatu
Member
- Jul 29, 2014
- 98
- 40
Huu uzi ni wa ushauri kwa diamond na sio malumbano ya nani mkali....!!
Jibu zuri sana. Atoe ushauri wa tofauti kama huu anaona haufai sio kuleta unwanted critisisms. Cc nifah
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ni wa ushauri kwa diamond na sio malumbano ya nani mkali....!!
kwani ukiambiwa safari njema ni lazma usafiri? hiyo pia sometimes inatumika kama kejeli.
Weka jiwe niweke mke
Duh ningekuwa mkeo ningetorokea kwetu!
Yamekua ya kilaza tena na kupitana akili. Nasemea kujadiliana kihoja zaidi hayo ya roho mbaya siuna ipaka rangi iwe nyeupe.
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.
Kuna tofauti ya kuwa maarufu na kufanya kazi na watu maarufu nionavyo diamond bado hajakuwa maarufu kimataifa kama baadhi wanavyoamini anachofanya ni kutafuta pesa kwao na kwenda kuwalipa wa nigeria ili arekodi nao,ndio maana kama unavyoona hapati mialiko zaidi ya nchi zilezile za east au europe na usa ambako uwa anakwenda kuwaburudisha wa east africa wenzake.

Ni ukweli ulio wazi kwamba umefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuvuka changamoto ya kuupeleka mziki wako ukubalike nje ya Tanzania
Hivi sasa mpenda muziki yeyote Africa anajua muziki wako na kukufatilia kwa karibu sana
Najua unatengeneza pesa nzuri kuliko msanii yeyote Ea Afica kwa sasa lakini binafsi naona bado hujafanikiwa kutengeneza pesa kulingana na jina lako na muziki ulijitengenezea
Najaribu kuangalia wasanii ambao upo nao level moja angalau kwa sasa wanvyopiga shows all over the Africa
Angalia acc za insta za psquare au davido
Sioni ukipiga matour ya maana ukiachilia kenya uganda tz burundi rwanda
Natamani nikuone unajaza nyomi cameruni au ghana au misri south africa nk
Show za usa na uk zinalipa sawa lakini himaya yako ipo Africa wanakokutambua, wapige hela bana
Hii ni changamoto kwa Fela na team yako yote, tafuteni mapromota wa nchi husika mkapige hela bana
Shows za tz Pekee hazitoshi, andaa tour moja matata Africa, huu ni wakati wako na hauta kaa juu milele
Ni hayo tu
Naamini unakatiza mitaa hii kuchungulia na kama sio wewe basi wapambe wako
Upo kaka? Mi nimeweka jiwe,na wewe muweke mke tayari!Weka jiwe niweke mke
Upo kaka? Mi nimeweka jiwe,na wewe muweke mke tayari!
Team barca!!