Jamani nimechagua huko,Bachelor of science in Maths. Sasa mbona hivyo? KIDUSII,unanitisha ujue! Embu funguka zaidi useme tatizo ni nini ili tujue?
Jamani nimechagua huko,Bachelor of science in Maths. Sasa mbona hivyo? KIDUSII,unanitisha ujue! Embu funguka zaidi useme tatizo ni nini ili tujue?
kumbe unapenda majina ya kozi.. Wewe ni janga
kidusi hana akili acha kumsikiliza alifukuzwa kwa kufanya fujo na kuendesha maandamano hajarudishwa hadi leo.nakaribisha maswali juu ya mtu huyu.
Jamani udom iko poa isipokuwa Business courses tu hivyo wengine karibuni. Business wana lecture ambao wanaferisha sijui kisa totorials mfano mwaka huu Financial management 1 yenye wanafunzi 800 kuna A moja B+ tatu C$B Miambili wengine wote Supp
hahaaaa! Atakua madam Pendo 2 huyo! Ni nomaaaa
Wanafunz wanakimbilia UDOM kufuata majengo na bunge. Binafsi nakidharau sana hiki chuo, ni chuo chenye koz nying lakini kina waalim wakubebwa au wasiojiweza kitaaluma na wanaburuzwa na CCM, wanachuo wanafikira pevu kuliko walimu wao, Kwa kweli ndgu yangu au mtu anayethamin ushauri wangu hawez kwenda UDOM.
Chuo jina kile no content
Japo najua 20yrz later kitakuwa poa maana viongoz wake weng watakuwa wamebadilika.
tatizo kubwa linalowasibu vijana mliopo udom, mnachanganywa na majengo wakati kichwan hakuna kitu, kwenye usanisi wa kazi vijana waliosoma udom ni wabovu sana, kuna hata baadhi ya mashirika yakijua tuu umesoma udom wanaku-discontinue bila hata kufanyiwa uhakiki.kuweni makini vijana na acheni kukurupuka.
badilisha omba sokoine,huko udom hakuna kitu ndugu yangu..
Ningekuelewa kidogo ka ungeniambia ka hakuna Maktaba..kuhusu swala la walimu, Watanzania tunatatizo kubwa la kupenda kulishwa kila kitu ka wanafunzi wa primary..Ndo maana naikubali sana elimu ya Open university...
Ila mleta mada nadhani atakuwa ni mmoja wa wahanga wa mgomo mlitaka kukifanya chuo cha baba yenu..
Kuhusu siasa sitaki kuamini wanafunzi wote ni CCM, na kwa nini usifukuzwe ka unaleta siasa chuoni
Kwa ushauri wako wa kutaka watu wasiende kusoma kwa sababu zako hizo za kipuuzi, unataka kisiwe na wanafunzi hadi baada ya muda gani ili hayo mambo yatakuwa yamejirekebisha..